wanaume,wanaume,mmmh!!!

Nyie wanawake tatizo mnakuwa selective sana afu mtu akiwa mkweli kuwapata ni kazi ndo maana tunawadanganya kuokoa mahusiano.Bt in other way pray to God to Give u ryt Man ss wanaume were smart liar it hard 2c by ur naked eyes.Its hurt poleni wadada
 
Bi mwasu hata mie huniamini, mimi mbona ni victim wa kudanganywa na hiyo jinsia yenu, Mwasu you have to know that men& women both are human beings possesing the same characteristics but different in in some if not many ways, and they behave humanly, remenber humman behaviours mama are not uniform,labda tu nikupe pole kwa yaliyokukuta, ila hata wanawake nao ni waongo, kifupi ni kuwa KIUMBE CHA MIGUU MIWILI C CHA KUKIWEKEA GUARANTEE( KIUMBE BIPEDAL NI MCHARUKO ALWAYS KEEP THAT IN MIND)
yah ni kweli kabisa ila kiukweli nimeuliza swali hili kwa uhakika kabisa ya kuwa wanaume wengi ndivyo mlivyo ishawatokea rafki zangu kama wanne hivi na mimi pia mara moja so inaonekana nyie ni zaidi ya sisi tunavyodanganya,its ok nimekupata ferds
 
As we drive along this road called life, occasionally a gal will find herself a little lost. And when that happens, I guess she has to let go of the coulda, shoulda, woulda, buckle up and just keep going.
 
dada Mwasu kabla hujapitia haya huwezi kukomaa akili matatizo ndo huwa yanatufanya tujitambue sisi ni kina nani usiogope simama endelea na safari akija mwingine safari hii hatakubabaisha hata kidogo na itakuwa rahisi kusoma alama za nyakati
yah ni kweli kabisa chauro vitu kama hivi ni sehemu ya maisha tu naelewa
 
Utapata lakin wajanja watakusaidia kuchakachua kwa mbali
DA hujawahisikia kuwa Ushindi hutokana na ujuzi wa kutumia silaha na si kuwa na silaha mkononi?? Hali kadhalika katika mapenzi........mwenye kibamia/mbilimbi sijui kama anaoujuzi mambo huwa shega?? Kuna wenye mitambo ya dowans na bado hawajuwi namna ya kuitumia vizuri zaidi ya kuishitch on and off??
 
Mjukuu taratibu, babu bado sijalala.
 
Sijakataa nimekwambia wanawake hutamani mara mbili kwanza nje kama hayo mambo ya HB, Kifua kipana nk si ni mambo ya nje hayo? Then akishamaliza kutamani hapo tunaingia 6*6 hapo suluhisho akiona miyeyusho pamoja na uHB wako unaachwa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

hapa kumbe wote tunazinguana, asa wewe unajenga hoja ya kuacha wenzio ukiachwa wewe kelele, watu hapa mlisema cjui kibamia hakina inshu ila romance leo mnapindua imekaa vp, halafu DA wewe kama mtu akikuzingua sita kwa sita ukamuacha je mimi nikimuacha kwa gia hiyohiyo nitakuwa muongo?
 
DA hujawahisikia kuwa Ushindi hutokana na ujuzi wa kutumia silaha na si kuwa na silaha mkononi?? Hali kadhalika katika mapenzi........mwenye kibamia/mbilimbi sijui kama anaoujuzi mambo huwa shega?? Kuna wenye mitambo ya dowans na bado hawajuwi namna ya kuitumia vizuri zaidi ya kuishitch on and off??

wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyu kibamia kimemkoleza kwishneyy, Happy Vibamia day
 
Unakutana na kibamia (kidogo) hakikufikishi mahala pale kaka suluhisho ni kutimukia mbali aahhh Babu taratibu eehhh
Dena mama.....hebu sikiliza mziki wa MJI hapa chini......unavyosisitiza juu ya vibamia....
DA hujawahisikia kuwa Ushindi hutokana na ujuzi wa kutumia silaha na si kuwa na silaha mkononi?? Hali kadhalika katika mapenzi........mwenye kibamia/mbilimbi sijui kama anaoujuzi mambo huwa shega?? Kuna wenye mitambo ya dowans na bado hawajuwi namna ya kuitumia vizuri zaidi ya kuishitch on and off??
:bump:
 
Nafikiri Asprin alikuwa anahitaji idadi (figures) na sio kuishia kusema wachache/wengi,!
Hapo kwenye red, inaonyesha uliwakubalia wachache tu, lakini kati ya hao wachache ni mmoja tu ndo uliemwaga!ina maana hao wengine wachache bado wanachakachua....................!!!!!1

figure haitausaidia chochote hapa hadharani hapa tuko kutoa mifano kama unachukulia ndio hali halisi haya
 
hapa kumbe wote tunazinguana, asa wewe unajenga hoja ya kuacha wenzio ukiachwa wewe kelele, watu hapa mlisema cjui kibamia hakina inshu ila romance leo mnapindua imekaa vp, halafu DA wewe kama mtu akikuzingua sita kwa sita ukamuacha je mimi nikimuacha kwa gia hiyohiyo nitakuwa muongo?

Ferds, Mie kibamia hakipandi hata kama utajua kukitumia.....
 
Mie sidhani kama wanawake wanatamaa ya kimwili maana mwanamke huwa na vigezo vyake mfano: Unavaa vizuri, una pesa, una kazi nzuri, nk kwa mwanzo lakini. itafika sasa wakati wa majambozi sawa unakazi nzuri ila 6*6 hakuna kitu hapo umekwisha. Wanawake wanaangalia mwanzo vitu mwisho majambozi je umo?! Au anaweza tu kutest kwa ambaye hata havutii ila kutokana na stress za mume wake anatest hata kwa shamba boy, drive nk anakuta mambo mswano hapo ni ile ya pili ndo inaaply ya kwanza kapuni. Maoni yangu haya si ya mtu mwingine

Orait...noted with many thanks....
 
hapa kumbe wote tunazinguana, asa wewe unajenga hoja ya kuacha wenzio ukiachwa wewe kelele, watu hapa mlisema cjui kibamia hakina inshu ila romance leo mnapindua imekaa vp, halafu DA wewe kama mtu akikuzingua sita kwa sita ukamuacha je mimi nikimuacha kwa gia hiyohiyo nitakuwa muongo?

hatukuzingui kaka ukimpata atakae kupenda kwa dhati hatojali una kibamia wala nini mapenzi ni sanaa tu unaweza kuwa mguu wa mtoto ukawa kero lakini ukawa na kibamia ukawa uko safi ishu hapa ni je anakupenda?
 
DA hujawahisikia kuwa Ushindi hutokana na ujuzi wa kutumia silaha na si kuwa na silaha mkononi?? Hali kadhalika katika mapenzi........mwenye kibamia/mbilimbi sijui kama anaoujuzi mambo huwa shega?? Kuna wenye mitambo ya dowans na bado hawajuwi namna ya kuitumia vizuri zaidi ya kuishitch on and off??
hahaha MJ1 sikuwezi kwa maneno jamani na kweli kuna watu wana mitambo wala hawajui namna ya kuitumia
 
hatukuzingui kaka ukimpata atakae kupenda kwa dhati hatojali una kibamia wala nini mapenzi ni sanaa tu unaweza kuwa mguu wa mtoto ukawa kero lakini ukawa na kibamia ukawa uko safi ishu hapa ni je anakupenda?

We Maty wewe taratibuuuuuuuuuuuuu watoto hawajalala bado?
 
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????

Buni lovemeter yako, Itumie kumsaka mchumba, vinginevyo utalia kila suku. pole dada mwasu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom