hv kipofu anaeza mwongoza kipofu mwenzake? nyie wenyewe hata kama umekaa masaa 2 hamna kitu mnafanya ina maana gani usihesabu muda hesabu action -results babu eeh sio unakaa unakoroma na kulia kama mbuzi hapo mwee eti nimekaa pale kumbe wapi?
We nafikiri umekutana na masharobaro ambao wanalia lia wakifikiri ndo wanafanya kazi. Kutana na mtu ndio atakaa hata kama ni 45 minutes ila utaomba maji ya kunywa na ni action mwanzo mwisho. Sio hao masharobaro unaokutana nao wanalia lia na kujifanya wanajua kumbe hakuna kitu