MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 2,539
- 6,295
Nianze kutunza mambo kifuani eti kisa uanaume mwisho nife na mastress aaagh hapana aise siwezi .
Lolote likinikuta ni mwendo wa kutoa machungu kwa kilio tu mpaka nijihisi ahueni haijalishi kuna watu au hawapo mimi ni kilio tu .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app