Wanaume Tubadilike

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,923
Kweli Dunia inaenda kasi Na Inapata Watu wapya kila siku na Wengine wanasepa kila leo!! Kero kubwa ambayo inaboa kila uchwao kwa kizazi hiki ni Mwanaume KULIA..

Inatafsiriwa kuwa mwanaume ni mtu ngangari, Mpambanaj, Ila Leo hii imekuwa tofauti mwanaume alia sana mbele za watu,Kitu kidogo michozi..

Miaka ya nyuma kuona Chozi au kilio cha mwanaume ni inshu sana hata baba zetu tulikuwa tunajiuliza ivi wanalia kweli? Walikuwa ngangari sio kwenye misiba wala kwenye mambo mengine huoni chozi ila macho tu huwa mekundu kama mambo ya red eyes.

Wanaume wa siku izi hata akinyimwa unyumba atalia kila mtu atajua,Sio kwenye mitandao hata kwa watu wake wa karibu! Kukitokea msiba ndio kabisa atalia Huku kashikwa na watu, Zamani kila kitu kilikuwa kificho,Kuanzia ngono na mambo mengi ya kutia aibu..

Jana mpangaji mwenzangu kaa njee ananiita na kuniadithia huku analia anasema hamuelewi mke wake hampi utamu Kama zamani, Nilitamani kumpiga konzi yaani swala kama hilo unashindwa kutatua unali, Kwishinei

Zamani Chozi la mwanaume halionekani ovyoo, Chozi la mwanaume linafichwa na akilionesha watu wanaogopa wanasema Leo kimbembe hapa. Leo hii jitu linalia tu,Kajikwaa analia,Kanyimwa utamu alialia, Kafukuzwa kazi analia.

Sio kwamba zamani mababa zetu walikuwa hawalii nop Ila analia anapapopajua Akija macho mekundu anatatua tatizo. Ndio mana Zamani hata filamu humuoni mwanaume akilia ovyo Ila siku izi GABO analia Kama demuuuu vile.

Mke wangu huwa ananiuliza ivi ushawahi kulia cuz hajawahi nionaga na izo pigo japo napitiaga changamoto Ila sipaswi kumuonesha chozi langu atanidharau.

Kuna mijinga mingine ikikojoa pia inalia inapiga mikelele,Kuna mmpangaji mwenzangu akipizi huwa anamwambia mke wake “Mama Suu Hodiiiiii Nifungulieeee Nakuja mke wangu hiiii hiiii” Yani ujinga ujinga tu.
 
Kweli Dunia inaenda Kasi Na Inapata Watu wapya kila siku na Wengine wanasepa Kila leo…!!Kero kubwa ambayo inaboa kila uchwao kwa kizazi hiki ni Mwanaume KULIA..

Inatafsiriwa kuwa mwanaume ni mtu ngangari,Mpambanaji…Ila Leo hii imekuwa tofauti mwanaume alia sana mbele za watu,Kitu kidogo michozi..

Miaka ya nyuma kuona Chozi au kilio cha mwanaume ni inshu sana hata baba zetu tulikuwa tunajiuliza ivi wanalia kweli? walikuwa ngangari sio kwenye misiba wala kwenye mambo mengine huoni chozi ila macho tu huwa mekundu kama mambo ya red eyes..

Wanaume wa siku izi hata akinyimwa unyumba atalia kila mtu atajua,Sio kwenye mitandao hata kwa watu wake wa karibu….!Kukitokea msiba ndio Kabisaaaa Atalia Huku kashikwa na watu….Zamani kila kitu kilikuwa kificho,Kuanzia ngono na mambo mengi ya kutia aibu..

Jana mpangaji mwenzangu kaa njee ananiita na kuniadithia huku analia anasema hamuelewi mke wake hampi utamu Kama zamani,Nilitamani kumpiga konzi Yani swala Kama Hilo unashindwa kutatua unalia…Kwishinei

Zamani Chozi la mwanaume halionekani ovyoo,Chozi la mwanaume linafichwa na akilionesha watu wanaogopa wanasema Leo kimbembe hapa…Leo hii jitu linalia tu,Kajikwaa analia,Kanyimwa utamu alialia,Kafukuzwa kazi analia…

Sio kwamba zamani mababa zetu walikuwa hawalii nop Ila analia anapapopajua Akija macho mekundu anatatua tatizo…Ndio mana Zamani hata filamu humuoni mwanaume akilia ovyo Ila siku izi GABO analia Kama demuuuu vilee…

,Mke wangu huwa ananiuliza ivi ushawahi kulia cuz hajawahi nionaga na izo pigo japo napitiaga changamoto Ila sipaswi kumuonesha chozi langu Atanidharau…

Kuna mijinga mingine ikikojoa pia inalia inapiga mikelele,Kuna mmpangaji mwenzangu akipizi huwa anamwambia mke wake “Mama Suu Hodiiiiii Nifungulieeee Nakuja mke wangu hiiii hiiii” Yani ujinga ujinga tu..
Matokeo ya feminism ya mafeministi inaonekana kila kona kila uchwao kwenye taasisi za ndoa, uchumba na mahusiano dhahiri shahiri 🐒
 
Nakazia 🔨⛏️⛏️⛏️
 
Kwahiyo ww hulali unawasikiliza baba suu na mama suu.?? 😂😂😂
Ndiomana Tanesco wanatukatia umeme wanavyotaka wao na hatuna cha kuwafanya
 
Back
Top Bottom