Neiwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 728
- 633
Mtoa mada naomba nieleweshe.. Kama responsibility za huyo baba ikiwa la msingi ni kulea familia yake ipasavo ni kutoa sadaka, zile sadaka stahili alizo amrisha Mwenyezi Mungu zitakuwa kundi gani? Mie nahisi umechanganya... hayo ulioorodhesha ni obligations zake na wala si sadaka. Labda kama natambua neno sadaka tofauti na wewe..