Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,891
Kwa wanaume na wanawake,
Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi??
Maana humu comments nyingi .
Mnawasema vibaya kwani wanashida gani??
Tuambieni tujue
Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi??
Maana humu comments nyingi .
Mnawasema vibaya kwani wanashida gani??
Tuambieni tujue