Tatizo kubwa ni kuwa 'NABII' huwa hakubaliki nyumbani kwao.
Ushauri wa bure ni kuwa angalia Signature ya bht na uifanyie kazi.Utakuja vunja nyumba yako siku moja kwa mambo yasiyo ya msingi(kama hiyo red unamaanisha).......
Kumbuka kuwa mshiki wa mwaka 2010 sio mshiki wa mwaka 2020.Kuna mabadiliko mengi sana yatatokea ,kimwili,kiroho,kiafya,kiakili,kisaikolijia,kinafsi n.k.
Narudia tena hili nilisema jana.Wanaume mmeambiwa muishi kwa akili na wake zenu........
huyu mwanamke atumie busara za ziada kujua tatizo, tuache uongo ndoa iliyohalalishwa ina umhimu wake sana.
:tongue1::tongue1::tongue1::tongue1:the thing is wny wait mapaka leo hii kama kuna umuhimu??? au umuhimu umekuja tu sasa na si kabla ya hapo??
people why do we do this to ourselves?? ni kuwa hatuelewi madhara yake au tunaogopa kuchelewa au ...........?????
wanaume wana asili ya ubishi.....................................miaka 10 hujaona umuhimu wa ndoa uje uuone leo?! ndio maana hataki..............kachukulia kuwa upuuzi...lol
haa kaka! mbona hivyo tena,...kwanini hamjiamini/hamtuamini?
the thing is why wait mpaka leo hii kama kuna umuhimu??? au umuhimu umekuja tu sasa na si kabla ya hapo??
people why do we do this to ourselves?? ni kuwa hatuelewi madhara yake au tunaogopa kuchelewa au ...........?????
Mtu anauamini moyo wake tu! Haya mambo mengine ni kuishi kwa matumaini tu kwamba labda huibiwi au unaibiwa kidogo tu! Muda pekee unapoweza kuamini kuwa hapa hakuna mtu wa kukusumbua/kukuibia ni pale mnapokuwa pamoja home, tena usiku, chumbani na milango yote imefungwa. Akiinigia mtu basi huyo ni Yesu au Popobawa!
bht si kwamba umuhimu umekuja leo, kama ukisoma maelezo yote utaona mazungumzo ya ndoa hayakuanza leo after 10yrs! yalikuwepo na yanaendelea, mwanaume hajaona kama ndoa ya kanisani ina umuhimu wowote, kosa lilishatokea wakaishii pamoja
BHT labda kaona mwenendo wa baba kwa sasa sio mzuri/haueleweki ndio mana anajihami, hata kama mnasema ni mke wake halali lakini huyu baba anaweza kuoa bila pingamizi kubwa kutoka kwa huyu mkewe, au hapa unasemaje?
BHT labda kaona mwenendo wa baba kwa sasa sio mzuri/haueleweki ndio mana anajihami, hata kama mnasema ni mke wake halali lakini huyu baba anaweza kuoa bila pingamizi kubwa kutoka kwa huyu mkewe, au hapa unasemaje?
sasa kaka nitoke nje ya topic kidunchu, kama ni kweli umemuacisha kazi kwa ajili hiyo, wewe humuibii/humchezei rafu huko makazini?
basi ndio kosa....hata mimi nimeongelea sana hilo kosa tunalofanya ndio linafanya watu wasione umuhimu wa viapo vya ndoa
unavuna ulichopanda
kwa mfano ungekuwa mrs wangu,dah HAKI-A-NANI MI NGEKUACHIA NYUMBA naenda kupanda chumba kitunda
hhehehe!
hivi kumbe tulikuwa kwenye m'pambanoo wa arguments?
haya mama.....
tachukua akili zangu TAZICHANGANYA NA ZA KWAKE....!then tutafika tu....!
mkuu una mathiori mengi kweli ku-mukichwa...!mwenzio memori kadi angu a kichina bana....!
halafu hapo kwenye redi nimesahau hivi nilianza na neno KWA MFANO?
katika wote naona kama ww umeilewa zaidi post yangu, wengi wanalaumu zaidi mama bila kufikiria kuna circumstances zinachangia watu kuishi pamoja kwa matumaini watapanga ndoa ya haraka lakini mmoja anaamua kutoa sababu kila cku mpaka wanajikuta wamezoea hiyo hali na hata ndugu wansahau kama awana ndoa, wengi wanafikiri mama amekurupuka tu na kudai ndoa gafla