Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Mom kumbe mnaishi wote....tayari wewe ni mke sasa kukuoa si formality tu kwani kuna la ziada atakalo pata hapo ??
kweli sheria za Mungu zipo kwa ajili ya kutulinda sisi lakini sijui kwa nini huwa hatutaki kuelewa hivo tuaona ni kama zinatunyima uhuru vile.
matokeo yake ndo haya!!! najaribu kufikiria tungekuwa hatuzini au ku-cohabit, si kila mtu mwenye wito wa ndoa angeingia kwenye ndoa? lakini sasa yule aliye kwenye ndoa hana tofauti na wale ambao wanjifanyia mambo yao informally....so why should one bother??
Afwadhali umekuja! Bwana awe nawe na akulinde hadi milele (sijui milele yenywe inashia wapi)! Hebu tusaidie sisi tunaopata kigugumizii cha kufikiria.
Hapo kwenye hii issue anayoongelea Mom kuna ndoa au haipo? Yaani jamaa anaweza kubwaga mzigo na kujichukulia mchuma mpya bila wasi wasi wa kufikishwa kwenye masanduku ya pilato?