Wanaume jamani

Babu na hakika hukunikosea lolote bali ni hizo mvi pamoja na wrinkles zinakufanya
ume mkali saa zingine.. ila jua wajuu wakubwa tuko hapa kwa lolote lile utakalo :) We love you always.
Waoooh.... Babu loves you too darling.... Usiogope mvi hizi, ngombe hazeeki maini.... hebu come this way tudansi kidogo basi.

attachment.php
 
Waoooh.... Babu loves you too darling.... Usiogope mvi hizi, ngombe hazeeki maini.... hebu come this way tudansi kidogo basi.

attachment.php

huyo bi dada ana G-string nzuri kweli .. ila hilo jash sasa duuhh..
Babu ngoja mi nikakuletee ugoro.." will be back soon"
 
Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!

:biggrin1: mwambie tena wanawake ndio kabisa akiwa na namba yako ya simu usiku wa manane anakupigia hajali uko kitandani na mkeo wala nini wakati ushamwambia humtaki
 
Heh toa ushauri taratibu basi mkuu. Lol

yan mkuu inabore sana ndo mana umeona nîmetumîa ukali.yan mtu unamwambia kiupole mi siwez kuwa na wewe nina mtu wangu lakn bado anaendelea kukung'ang'ania tu. wengne hatujui kumtusi mtu basi atataka mpaka cjui umtusi!!!!
 
kitu gani hicho tena!?? au na we ndo wale wa kuganda watu..

kuna mdada nilimfatilia sana akaniuliza hivi "hivi mimi nime zaliwa na wewe?" ni kamwambie ani onee huruma nampenda sana akasema nikiweza ninywe sumu nife ,lakini huwezi amini baadaye alikubali na ananipenda kwakweli! kwa hiyo nikajua alikua ana nipima kama nampenda na wasichana wengi wenye
msimamo bila kuwa king'ang'a nizi huwezi kumpata. Kwa hiyo hii topic imenifanya nicheke hadi watu wamenishangaa!
 
dwuh kweli una bahati ila mi nikisema namahanisha kweli, wengine wanakusumbua hadi wanaboa
 
Hivi hujui sababu inayowafanya wawe kamgandeni ? Husababishwa na wanawake wenyewe!
Pale mnapowaacha kutoa dushe nje wakisha'score! Mnawasikilizisha maaendiketa! Hayo maaendikita ndo huleta shida mnapowamwaga!
 
mnawasingizia sometimes wanaume jamani....kwa kawaida mwanamme akipenda yupo kwenye 100% wakati demu anayemfukuzia yupo 0% sasa atafanya nini na ye kesha penda inabidi awe jitu kupe ili apate anachokitaka hata kama ukiwa mke wa mtu unahiari ya kumkataa lakini sio king'ang'anizi kwani amekulazimisha? unamwambia leo unamtu kesho unamwambia ntakufikiria mtondongoo ameshakuwa service provider wako na mwisho mahaba mazito af me anakuwa 0% ke yupo 100% hapo sasaaaaa......
 
mnawasingizia sometimes wanaume jamani....kwa kawaida mwanamme akipenda yupo kwenye 100% wakati demu anayemfukuzia yupo 0% sasa atafanya nini na ye kesha penda inabidi awe jitu kupe ili apate anachokitaka hata kama ukiwa mke wa mtu unahiari ya kumkataa lakini sio king'ang'anizi kwani amekulazimisha? unamwambia leo unamtu kesho unamwambia ntakufikiria mtondogoo ameshakuwa service provider wako na mwisho mahaba mazito af me anakuwa 0% ke yupo 100% hapo sasaaaaa......
 
Back
Top Bottom