Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,206
- 42,067
mnawasingizia sometimes wanaume jamani....kwa kawaida mwanamme akipenda yupo kwenye 100% wakati demu anayemfukuzia yupo 0% sasa atafanya nini na ye kesha penda inabidi awe jitu kupe ili apate anachokitaka hata kama ukiwa mke wa mtu unahiari ya kumkataa lakini sio king'ang'anizi kwani amekulazimisha? unamwambia leo unamtu kesho unamwambia ntakufikiria mtondogoo ameshakuwa service provider wako na mwisho mahaba mazito af me anakuwa 0% ke yupo 100% hapo sasaaaaa......
ummy umenena vema! Za siku?