Wanaume husema 90% uongo kumtongoza mwanamke kwa mara ya kwanza.

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,852
16,750
Kumbe ukweli kwa mara ya kwanza ukimwambia demu utamkosa hata muuza maandazi? Lol..!! So kwa mara ya kwanza uongo 90% ukimpata uongo unapungua around 70%, mara ya pili umempata 50% uongo na ukweli 50%, duuhh...!! Mmmmhh, kumbe UKWELI ktk kutongoza ni mbaya? Aisee...!!, nasikia mademu wanagundua baadae kuwa kadanganywa somehow mwanaume kashamjua
inside out, kachakachua, so ukijua ukweli amua moja ubaki au uende, kaazi kweli, wapo mademu wachacheee ukisema uongo wanajua at first tongozo, but wengi wananasa, UONGO at first ni mzuri au? Mmmhh
 
Mhmm sina comments kabisa! Ingawa najua wanawake wanapenda uongo kuliko ukweli hii nina uhakika nao.
 
If you deceive her,definetly kula mzigo ni asilimia kubwa,lakini nenda na vi ukweli vyako uone, utaishia kuchezea soap bath room mpaka basi.
 
Kwanini hamuwaambii ukweli mbona mimi huwa nawaambia ukweli na wananielewa.
 
Ni kweli kuna wanaotongoza kwa kudanganya, lakini percentage ulizoweka sina uhakika nazo
 
Hadithi, hadithi,!! Hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea!!!!
 
Pamoja na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi wakati fulani lakini sijawahi kutongoza msichana tangia nizaliwe!
 
yeah! mie pind namtongoza my Gf nilimuahidi kumpa jogoo! Mwanamke anataka uongo ndio umpate!
 
Kumbe ukweli kwa mara ya kwanza ukimwambia demu utamkosa hata muuza maandazi? Lol..!! So kwa mara ya kwanza uongo 90% ukimpata uongo unapungua around 70%, mara ya pili umempata 50% uongo na ukweli 50%, duuhh...!! Mmmmhh, kumbe UKWELI ktk kutongoza ni mbaya? Aisee...!!, nasikia mademu wanagundua baadae kuwa kadanganywa somehow mwanaume kashamjua
inside out, kachakachua, so ukijua ukweli amua moja ubaki au uende, kaazi kweli, wapo mademu wachacheee ukisema uongo wanajua at first tongozo, but wengi wananasa, UONGO at first ni mzuri au? Mmmhh

Mkuu hapo inategemea unamtongoza nani! Kuna wengine huwezi sababu wanakuelewa, na wengine starter inakuja ili ku-draw attention.
 
Ukweli ni kwamba watu ni materialist, sasa wewe ukija na ukweli wako kwamba eti nataka tu kukudo, halafu tutajua mbele kwa mbele! Weeee! nani alikwambia wanawake wanataka mtu wa kubahatisha maisha? wakati wapo wenye nazo tayari!!!! Nitakutoa baru wewe!! bora uje na kauongo cha kuufanya moyo wangu uridhike na matumaini ya kusadikika! C unajua tena kama hatujaridhika ni kama unabaka vile, sasa je? uje umejipanga kisawasawa, na ukija na majidai yako eti na kuanza kupiga simu ukishaniona, eti ile kontena imeshafika? magari mangapi yamo? sasa unauliza mangapi wakati wewe ndo umeagiza? Yani nitakuaibisha na uwongo wako hapo kwa papo fatakiiiiii
 
Jesus...!tokea tupate uhuru 1961 sijapata ona mwanamke mzuri kama wewe!
 
Back
Top Bottom