Wanaume hujali vitu vipya tuu !!

opening-car-doors.jpg
.

KAMA KUNA VIUMBE VINAVYO JUA KUONYESHA VINAJALI MAMBO MAPYA BASI NI HIVI VIUMBE WANAUME. UKIWA UNAANZA URAFIKI, UCHUMBA ETC NA MWANAUME YOYOTE UTAHISI PARADISO YA DUNIANI, LAKINI KADRI MUDA UNAVYO KWENDA AU AKISHA FANIKISHA AZMA YAKE NI HABARI NYINGINE.
Mawindo lazima yapetwepetwe la sivyo chupi yake utaisikia kwa bomba tu!!Huioni ng'o

UKUKIMWULIZA MWANAMKE YOYOTE ALIYE DANGANYWA NA MAARIFA YA HIVI VIUMBE KATIKA ULAGHAI ATAISHIA KUTOA MACHOZI KWANI HAKUWAHI KUFIKIRIA KITU KAMA HICHO KUTOKEA MAISHA MWAKE KUTOKANA NA AHADI, MAPENZI KEMUKEMU YENYE MATUMAINI. LAKINI UKWELI UNABAKIA PALE PALE, WANAUME NI VIUMBE VYA KUTO AMINIWA.

When a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
Prince Philip, Duke of Edinburgh
Ni kweli kitu lazima ukipete pete ili kutengeneza mazingira mazuri yakuijua chupiz
 
Big g!!Ndiyo maana ukimaliza kudu hapa na ukawa umechokalakini ukitoka nje ukamwona kimwana mwingine mpya unaweza ukapiga upya bao zako 2!Ndo tulivyoumbwa labda uwenakasoro!!
 
Big g!!Ndiyo maana ukimaliza kudu hapa na ukawa umechokalakini ukitoka nje ukamwona kimwana mwingine mpya unaweza ukapiga upya bao zako 2!Ndo tulivyoumbwa labda uwenakasoro!!

Kaka Big hana tabia hiyo akimaliza tu analala foforo
 
Hmmm! Dr naona bado mko na mwanakondoo wako... LOL! Mzima lakini? Miye poa. Lizzy nadhani na wewe uko poa kabisa ukikamilisha maandalizi ya mwisho mwisho ya kusheherekea Noeli.

Hahaha!BAK mchungaji hataki nipotee..ukizingatia mwaka ndo unaishia, kazi aliyofanya mwaka mzima itaenda na maji!Hehehe! Maandilizi hayajanoga..nasubiria mwaliko!
 
Mh....,!!!!!Kweli sisi wanaume ni mwisho wa matatizo,yaani mbwembwe zote hizo,mtu anataka kumvua chupiz tu mwenzake?
 
Kwani ni lazima mwanaume amfanyie mwanamke tu ndio maisha yawe sawa na paradiso, mbona wakina mama hawawafunguliii milango kina baba. Tunachoka na sisi kila siku kumfanyia mwenzio yeye anakula good time tu, kwani kama raha si tunapata wote why mwanaume apate shida sana kwa mwanamke ah. ile hamsini kwa hamsini natamani sana ianze kutumika .

Sure thing!!! Kwa nini wanaume ndo wawe wakuwafungulia milango ya magari wanawake???? Kwa nini wanaume ndo wawe wakuwasogezea kiti wanawake wakae wanapotoka out???.... Yaani kila siku katika kila kitu wao wawe on the receiving end!!!! Why???
 
Mkuu kuwa mwanaume ni kujali mwanamke. Hizo mbwembwe za kufungua milango, sogezea kiti, hakikisha mwanamke yupo kwenye security ni mambo ya muhimu sana, na hawa viumbe wanapenda sana. Halafu kitu chochote unacho mfanyia mwanamke kinakupa raha mwenyewe na ukiwa mgumu katika haya ukajifanya wee kidume unajiwekea maisha magumu mwenyewe. We fanya tuu hata mbele za watu poa tuu, ndoo kuwa kidume huko.
 
Tell them smati, ama kweli wewe smati. Yani leo umenikuna mpaka basi.
 
Mkuu kuwa mwanaume ni kujali mwanamke. Hizo mbwembwe za kufungua milango, sogezea kiti, hakikisha mwanamke yupo kwenye security ni mambo ya muhimu sana, na hawa viumbe wanapenda sana. Halafu kitu chochote unacho mfanyia mwanamke kinakupa raha mwenyewe na ukiwa mgumu katika haya ukajifanya wee kidume unajiwekea maisha magumu mwenyewe. We fanya tuu hata mbele za watu poa tuu, ndoo kuwa kidume huko.

good!!!!
 
Napenda kuona mke na mume wanatembea halafu mume amebeba pochi ya mkewe.
Hamjui tu ni jinsi gani tunafarijika kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo ambavyo haivitoi jasho kuvifanya.
 
Ofcoz ni kweli kabisa, wanaume ni mashetani wakubwa. Na am not sure kama hupenda kutoka moyoni zaidi ya kile wanacho kiona. MAISHA YANGEKUWA KAMA HAPO KWENYE PICHA TOKA MWANZO WA UHUSIANO HADI KABURI, DUNIANI TUNGEFANYA MAANDAMANO MWISHO WA DUNIA UFUTWE.

NIPIGIE naona imekutouch saaaana au uliwahi kufanyiwa hivyo kisha mambo yakakatika?

basi usijali nipigie mie takufanyia zaidi ya hayo ili tufute mwisho wa dunia.
 
mume amebeba pochi ya mkewe. Hamjui tu ni jinsi gani tunafarijika kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo ambavyo haivitoi jasho kuvifanya.

Nikiomba pochi yako utanipa? Si utasema nataka nichunguze na simu yako nione kuna nini?..... Nadhani pochi ya mwanamke ina mengi na some privacy inatakiwa.... hautasema ni mapenzi utasema ninakuchunguza.
 
Napenda kuona mke na mume wanatembea halafu mume amebeba pochi ya mkewe.
Hamjui tu ni jinsi gani tunafarijika kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo ambavyo haivitoi jasho kuvifanya.

Unataka watu waniite mtoto si riziki, hivi hujui mashoga wengi hupenda kuongozana na wanawake; ni pale tu watakaotuona wanaojua mimi ni mme wa huyo mwanamke, wengine wata-confirm kuwa mimi shoga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom