Wanaume hujali vitu vipya tuu !!

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,322
opening-car-doors.jpg
.

KAMA KUNA VIUMBE VINAVYO JUA KUONYESHA VINAJALI MAMBO MAPYA BASI NI HIVI VIUMBE WANAUME. UKIWA UNAANZA URAFIKI, UCHUMBA ETC NA MWANAUME YOYOTE UTAHISI PARADISO YA DUNIANI, LAKINI KADRI MUDA UNAVYO KWENDA AU AKISHA FANIKISHA AZMA YAKE NI HABARI NYINGINE.

UKUKIMWULIZA MWANAMKE YOYOTE ALIYE DANGANYWA NA MAARIFA YA HIVI VIUMBE KATIKA ULAGHAI ATAISHIA KUTOA MACHOZI KWANI HAKUWAHI KUFIKIRIA KITU KAMA HICHO KUTOKEA MAISHA MWAKE KUTOKANA NA AHADI, MAPENZI KEMUKEMU YENYE MATUMAINI. LAKINI UKWELI UNABAKIA PALE PALE, WANAUME NI VIUMBE VYA KUTO AMINIWA.


When a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
Prince Philip, Duke of Edinburgh
 
opening-car-doors.jpg
.

When a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
Prince Philip, Duke of Edinburgh

Dena kachumbari wa furaha yangu wayaona lakini mambo hayo? Basi miye ntakutenda hivo mwanzo hadi mwisho!!!!
 
Ofcoz ni kweli kabisa, wanaume ni mashetani wakubwa. Na am not sure kama hupenda kutoka moyoni zaidi ya kile wanacho kiona. MAISHA YANGEKUWA KAMA HAPO KWENYE PICHA TOKA MWANZO WA UHUSIANO HADI KABURI, DUNIANI TUNGEFANYA MAANDAMANO MWISHO WA DUNIA UFUTWE.
 
opening-car-doors.jpg
.

kama kuna viumbe vinavyo jua kuonyesha vinajali mambo mapya basi ni hivi viumbe wanaume. Ukiwa unaanza urafiki, uchumba etc na mwanaume yoyote utahisi paradiso ya duniani, lakini kadri muda unavyo kwenda au akisha fanikisha azma yake ni habari nyingine.

Unauliza nyani anafanya nini kwenye shamba la mahindi??. Hizo ni mbwembwe za mawindo ama sivyo siku utashindia nyasi.

Ukukimwuliza mwanamke yoyote aliye danganywa na maarifa ya hivi viumbe katika ulaghai ataishia kutoa machozi kwani hakuwahi kufikiria kitu kama hicho kutokea maisha mwake kutokana na ahadi, mapenzi kemukemu yenye matumaini. Lakini ukweli unabakia pale pale, wanaume ni viumbe vya kuto aminiwa.


when a man opens a car door for his wife, it's either a new car or a new wife.
prince philip, duke of edinburgh


unauliza nyani anafanya nini kwenye shamba la mahindi??. Hizo ni mbwembwe za Mawindo ama sivyo utaishia kula nyasi.
 
Ofcoz ni kweli kabisa, wanaume ni mashetani wakubwa. Na am not sure kama hupenda kutoka moyoni zaidi ya kile wanacho kiona. MAISHA YANGEKUWA KAMA HAPO KWENYE PICHA TOKA MWANZO WA UHUSIANO HADI KABURI, DUNIANI TUNGEFANYA MAANDAMANO MWISHO WA DUNIA UFUTWE.

Kwamba hapo kwenye bold unajumlisha, baba yako, mjomba wako, kaka yako nk.
 
Kwani ni lazima mwanaume amfanyie mwanamke tu ndio maisha yawe sawa na paradiso, mbona wakina mama hawawafunguliii milango kina baba. Tunachoka na sisi kila siku kumfanyia mwenzio yeye anakula good time tu, kwani kama raha si tunapata wote why mwanaume apate shida sana kwa mwanamke ah. ile hamsini kwa hamsini natamani sana ianze kutumika .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom