Wanaume hawapendi kabisa romance...

sasa unafanyaje bila fore play?..mimi bila hiyo sijisikii kabisa
 
Bila maandalizi ufahamu hautadumu na mmoja maana utakuwa unawaumiza physically and Psychologically na kujipendelea mwenyewe.
 
Inabidi tujitahidi maana vi-sharobaro mhhhhhhh vitakubebea ...
 
Sio kweli na nabisha! Jamaa yangu anapenda manyonyo yangu na hata KUZAMA CHUMVINI! nakataa kata kata, hau wa design yako ni washamba!
Mwambie jamaa aache kuzama chumvini kwani madhara yake ni makubwa kama vile fangasi za midomo na magongwa mengine kibao.
 
unakojoa, hukojoi?
suala sio kukojoa au kutokojoa. Hata wewe unajua vyovyote vile mwanaume utakojoa tu. Suala hapa je romance ipo au haipo. Na ukweli ni kuwa romance inawasaidia sana wanawake kuliko wanaume na nadhani ndo msingi wa mada yako. Lakini sio wanaume wote hawafanyi romance. Au kwa mwanamke huyu (umpendaye) wanafanya na kwa mwingine hawafanyi
 
Swali la msingi - kumwaga ndio pointi!
kama kumwaga ndo msingi wa mada yake angeanzisha thread inayohusu "kama usipofanya romance unakojoa au hukojoi?". Pointi yake ilikuwa kuwa WANAUME WOTE HAWAFANYI ROMANCE na hii sio kweli ingawa wote wanaofanya na kutofanya hukojoa. We kojoa bila romance ukimaliza mkeo anaenda kutafuta romance kwingine na yeye akojoe. Samahani wadau kama lugha itakuwa kali sana
 
Mwambie jamaa aache kuzama chumvini kwani madhara yake ni makubwa kama vile fangasi za midomo na magongwa mengine kibao.
Duh hapa nadhani ni mada nyingine ya usafi kwa sababu watu wanaenda kama kawa na hawapati fangasi, nadhani wa kwao ni wale wasiozingatia usafi ambao ni muhimu ili kufurahia tendo
 
Wanaume wote wanapenda wadumbukize, wachovyechovye, wamwage sufuria la uji kisha walale.
Unabisha?
..Mbona hata wao wanasubiri mpaka wewe mwanaume uanzishe kila kitu anasubiri mlambe lambe, uguse guse kwenye K****** yeye anakuangalia tu sana sana kama atasikia handasi inapanda atakuwa anageuka geuka tu bila kutoa ushirikiano mwisho anakuhimiza ingiza basi.Ukisugua dakika 10 mwisho anakwambia amechoka anataka umtapikie huo uji ili alale!!! wengi wavivu na si wabunifu..:mod:
 
Back
Top Bottom