Wanataka Rushwa ya Ngono.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Habari wana Jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

Asanteni sana
 
Habari wana Jf.... Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo.... Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu Asanteni sana
inaonesha angekua mkubwa ungeruhusu wamLALE.
 
Habari wana Jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

Asanteni sana

Mimi ni Mwanamke na nimesha pitia vipindi kama hivyo mara kadhaa. Muhimu ni kua wazi tu: ajibu kwamba anatafuta kwenda field, sio boyfriend ao mtu wa kulala nae. Jibu langu ni hili: Tuongee kwanza vya field sababu ndivyo vilinileta. Sina tabia ya kudevelop relation zingine hasa na watu nisio wajua. nikisha pata hiyo field attachment ndio nitaweza kuongea vingine. then akisha pata anamwambia tu: sorry, I am not interested. it sounds too easy to work but I can tell you, it does!
 
Mwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams
 
Hiyo nyekundu umeijibu kwa kichwa cha habari yako, halafu unashangaa? Mwambie mdogo wako, huko duniani ni kama baharini, mdogo huliwa na mkubwa na mkubwa huliwa na mdogo. Mradi ajichunge tu au achaguwe moja kati ya hayo mawili.
 
habari wana jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia diploma ya business administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... Na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. Mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... Majibu ni hayo hayo....

Yupo arusha na angependelea kupata field arusha... Naombe msaada wenu

asanteni sana

bush baby pengine na yeye aliwaingiaje unajua kuna system mabinti zetu wanaomba kitu huku wanalegeza macho pengine niulize na ni kakudanganya watu wazima awatamani,awazini,..pili umesema huyu mtoto wa kike ulitaka wapende wanaume..kaa vizuri na mdogo wako nionacho hapa asionyeshe anaharaka sana ya hiyo field..watamsumbua sana sana..,...,

kingine amwombe mungu ampe favour..kibali cha kupenya unajua kuna vyeti avikupi kazi bali kibali cha mungu mwambie aombe kibali cha mungu kupita popote pale atapata sehemu nzuri tu..mi nina ushahdi ninayokwambia nilikuwa natuma vyeti vyangu kila sehemu vizuri muno muno wasemavyo wachaga lakini niliishiwa kuambiwa ahsante tumehifadhi tutakujulisha tena..nilipomjua mungu nikapata hili somo la favour..nakwambia akuna atakaekuzuia..unajua anyway nikupe kasomo kila mtu amepewa nyota yake ..so unakuta kuna watu wamekaa kufunika nyota za watu so unaweza kuwa na vyeti vizuri vya kupata field lakini unakuta wakiwa wanachagua yako inafunikwa na mapepo inaweza hata kurushwa pembeni..wanachukuliwa wasioambatana hata na field wanayoomba basi tu..so aombe kibali aombe toba kwa mungu alieofanya kwa kukusudia ama kutokusudia ..utakuja haapa kumtukuza mungu
 
Mimi ni Mwanamke na nimesha pitia vipindi kama hivyo mara kadhaa. Muhimu ni kua wazi tu: ajibu kwamba anatafuta kwenda field, sio boyfriend ao mtu wa kulala nae. Jibu langu ni hili: Tuongee kwanza vya field sababu ndivyo vilinileta. Sina tabia ya kudevelop relation zingine hasa na watu nisio wajua. nikisha pata hiyo field attachment ndio nitaweza kuongea vingine. then akisha pata anamwambia tu: sorry, I am not interested. it sounds too easy to work but I can tell you, it does!

mY DEAR rUSSIAN
USITHUBUTU UNLESS KAMA UNA LENGO LA KUFANYA TU KAZI BORA AJUE MOJA NA SI KUMWAMBIA TUONGEE KWANZA ..ANAKUJA KUKUKAMATA MWISHO WA SIKU UNAMALIZA NI LAZIMA ASAINI NA ATIE MUHURIIWAKE LOH PANAKUWA PATAMU HAPO.....BORA ASEME WAZI SIWEZI AANGALIE ATAMPA AU LAH KUMWAMBIA KWANZA FIELD KINACHOFWATA MWISHO WA SIKU LAZIMA UJIBU
 
Habari wana Jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

Asanteni sana

Yaelekea mdogo wako anashawishi mpaka jamaa wanashawishika lol

Mwambie aende TAKUKURU nako najua wataomba awafikirie lol
 
Habari wana Jf....Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenuAsanteni sana
Be careful na mdogo wako. Haiwezekani KILA OFISI aombwe rushwa ya ngono. Kuna mawili, atakuwa mapepe sana au hana sifa za kuchukuliwa, anaishia kutoa visingizio
 
Habari wana Jf....

Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

Asanteni sana
Du poleni sana kwa mitihani hiyo. Msaidie wewe mwenyewe kwa kumtafutia sehemu ambazo unapaamini. unajua siku hizi maadili yamepolomoka sana na dada zetu wamekuwa hawaambiliki kwa kuvaa mavazi yasiyo kuwa ya sitala yaani hutembea uchi wakidhani wamevaa nguo kwahiyo wanapokutana na wanaume ambao wana pepo la ngono lazima watawataka tu kimapenzi kwani muonekano wao hao madada huwa ni wa kushawishi ngono. naamini akienda amejisitili kwa maana ya kujistili hata huyo mtu itakuwa ngumu siku hiyohiyo amuombe ngono. ebu muangalie dada yako anavaaje kisha mshauri.
 
Mkuu, kwanza pole sana. Pili hongera kwa kuwa unajihusisha na mambo ya mdogo wako vema.

Ushauri wangu naomba mwambie mdogo wako kutobadilisha msimamo wake kwa kukubali kuutoa mwili wake ili apate nafasi ya field hata nafasi ya kazi.
Pili, kukusa nafasi 4 isiwe sababu ya kukata tamaa. Let her never be quick to give-up. Life can fail her if she is givin up earlier like that.
 
Mwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams
nilitegemea wewe ni mtu mzima kumbe ndo nyny mnaoweza kulala na watoto wenu dah? Pole sana nilifikir unaakil timamu kumbe zero
 
BushBaby nakupa pole sana na usumbufu huo uliompata mdogo wako! Hii nikawaida kwa wanaume wakware kwa hii tabia nakumbuka ule usemi alioutoa muheshimiwa JK alisema eti ukitaka kula na wewe ujue kuliwa!
 
Sasa kama Rais mwenyewe atasema hivyo tunaenda wapi jamani.... hiyo ni field tu...angekuwa anaomba kazi ingekuwaje??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom