wanasiasa

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja,mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la pamoja na kuwazika wote, polisi walivyofika wakamkuta yule mkulima
wakamuuliza waliopata ajali wako wapi akajibu nimewazika wote,polisi akamuuliza unahakika wote wamekufa mkulima akajibu, !a kuna baadhi walikuwa wakilalamika lakini siunajua wanasiasa walivyokuwa waongo nilijua wananidanganya mimi nikazika wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom