Wanasheria naomba mnisaidie kufahamu

Nick.

New Member
Jul 13, 2011
1
0
Kunapokua hamna sheria iliyotungwa kusimamia jambo fulani, implication yakufanya jambo hilo ikoje?
Nikosa au sikosa, hasa ukizingatia negative impact zinazoweza kutokea kwa wale wasio na maslahi ya kufayika kwa jambo hilo?
 
Hili ni swali la mtihani, liweke vizuri kama ulivyoulizwa na lecturer wako.

Come out openly and clearer.

In short kama hakuna sheria why worry and why ask.

nadhani kwenye hili jukwaa uliza kuhusu sheria ambazo ziko na sio ambazo haziko.
 
hakuna kosa unless provided bya law. Hvyo haliwez kuwa kosa kwa sababu hakuna sheria ya kukushitaki.
 
Hili ni swali la mtihani, liweke vizuri kama ulivyoulizwa na lecturer wako.

Come out openly and clearer.

In short kama hakuna sheria why worry and why ask.

nadhani kwenye hili jukwaa uliza kuhusu sheria ambazo ziko na sio ambazo haziko.

Mwenzako anataka kujua wewe unamjibu as if hapa tupo kwenye baa ya mnazi. Kuwa serious na mambo, nina imani humu watu wengi ni wasomi. Unaspeculate halafu unajiaminisha kuwa speculations zako ni za kweli unamshambulia mwenzako kwa kejeli. Tazama chini waungwana wamenjibu vyema tu. Jifunze ndugu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu mbona unauliza kwa mafumbo?kumbuka mficha uchi hazai.Weka wazi usaidiwe,itakula kwako.
 
Ipo principle moja kwenye criminal law inayoitwa kwa kilatini "nullum crimen sinelege" inayomaanisha "there is no offence without law" hivyo hata kama hilo jambo lina negative implication kama halijatamkwa na sheria kama ni kosa then haliwezi kuwa kosa.
 
Hali ya namna hiyo wanasheria uita 'non liquet'. Priciple ya hapa inasema endapo sheria itakuwa imenyamaza; where there is a lacuna in domestic laws the common laws will apply. Maanake tunaweza kukopa sheria za uingereza. Laikini pia hii ikiwa haitoshi kuna namna nyingi ya kutafsiri sheria, moja ya hizo ni Generis rule hii uruhusu sheria japo kuwa haijazungumzia kitu cha hivo hivo lakini inaweza kutafsiriwa kwa upana ilikutatua tatizo fulani. Priciple nyingine ni kama natural justice kanuni za wema na ubaya. Pia angalia Jurisprudence ya pragmatism.
 
nadhan aliposema hakuna sheria alimaansha sheria zote kwa upana wake yaan kuanzia statutory law mpaka customary, kuanzia common law mpaka case law na hata natural justice. Sasa cdhan kwa mantik hyo kama kuna any interpretation inayoweza kucriminise such act.
 
Mwenzako anataka kujua wewe unamjibu as if hapa tupo kwenye baa ya mnazi. Kuwa serious na mambo, nina imani humu watu wengi ni wasomi. Unaspeculate halafu unajiaminisha kuwa speculations zako ni za kweli unamshambulia mwenzako kwa kejeli. Tazama chini waungwana wamenjibu vyema tu. Jifunze ndugu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Siajabu tulikuwa wote kwenye mnazi.

Pamoja na mnazi soma sentensi ya tatu, uisome bila kwikwi ya mnazi, ina tofauti gani na majibu ya waungwana.
 
Mwenzako anataka kujua wewe unamjibu as if hapa tupo kwenye baa ya mnazi. Kuwa serious na mambo, nina imani humu watu wengi ni wasomi. Unaspeculate halafu unajiaminisha kuwa speculations zako ni za kweli unamshambulia mwenzako kwa kejeli. Tazama chini waungwana wamenjibu vyema tu. Jifunze ndugu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Soma post namba tano halafu linganisha na sentensi yangu ya pili
 
Back
Top Bottom