Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana-Nyerere; tumeanza hivyo, sijui mwisho wake ni nini!
na aliyesema JKT ndo linaleta uzalendo ni nani?? Mbona viongozi wote wanaotuingiza kwenye mikataba mibovu, wala rushwa, mafisadi, wanaofanya bihashara za kijangili etc wote walipita huko, tena kwa muda mrefu sana-uzalendo huo umefutika au umedondokea wapi???? Upuuzi sana! je JKT inahitaji Div. 1&2?? ili wakaifanyie nini???*^8**$#^&%$#@*&++++