1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti kwa usalama wa taifa kama ilivyo kwa jeshi na sehemu zingine kama hizo.
"Columbia University students say protest highlights ‘Bigger cause’
"The students remain defiant and they remain here in the campus.
"Hundreds of students have not only been carrying out a sit in-in the middle of campus – but also protesting against genocide (in Gaza) and they have lots of demands."
2. Ni ukweli usiofichika kuwa "bongo" bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana katika vyuo vikuu.
They say would like to see financial transparency from this university. They would like to see university funds, for example, not being invested in companies that profit from the war. They would also like to see an amnesty for the students and faculty who have been disciplined. Those are their demands.
3. Ni katika mataifa ya hovyo tu ambako huwabagaza wasomi wao; kwenye mataifa yanayojitambua vyuo vikuu husikilizwa kwa utatuzi wa changamoto zote katika nchi: iwe ni mafuriko, matetemeko, vimbunga, katiba ya nchi, magonjwa, uchumi, maendeleo nk.
4. Hapo #3, changamoto za ajali barabarani, corona, umeme nchini, bungeni kwenye sera, serikalini kwenye maamuzi, mafuriko (rufiji, jangwani, mto msimbazi, nk), tabiri za hali ya hewa, mwendo kasi, vivuko, mabadiliko ya tabia nchi, madini, gesi, mafuta, nk; vyuo vikuu haviwezi kuwekwa pembeni.
5. Vyuo vikuu vimekuwa ni chachu ya mabidiliko kote duniani.
6. Yaliyotikisa China Tianamen Square (1989), kuporomoka kwa zilizokuwa dola za ki communist duniani, kimbembe Cha Arab spring (Medani ya Tahrir na Hosni Mubarak, Misri huko ni mfano wake), Massacre za Sharpeville SA (1990), kuanguka kwa strong man wa ufilipino Fernando Marcos (Snr), nk; mstari wa mbele walikuwa wasomi vyuo vikuu jambo ambalo: CHADEMA waneshindwa kujifunza!
7. Mchango wa migomo ya wanafunzi kwenye nchi zenye kujitambua hauwezi kudogoshwa:
a) Kupatikana mfumo wa vyama vingi kenya.
b) Kupatikana kwa katiba ya haki Kenya.
c) Kupatikana Kwa mfumo wa vyama vingi Tanzania.
d) hatimaye kuanzishwa kwa mfumo wa "boom" Kwa wanafunzi nchi nzima,
e) Maslahi ya wahadhili kuboreshwa, nao kuanza kushirikishwa serikalini kwenye maamuzi na hata bungeni huko.
f) Utaratibu wa uwakilishi kwenye shughuli za vijana duniani kuwashirikisha pia wasomi vyuo vikuu kwa haki dhidi ya uliokuwapo uliokuwa umejaa ufisadi na nepotism za ma zealots (chawa) wa CCM na uvccm (rejea Pyongyang 1987).
g) kuachiwa kwa madaktari kutoka gerezani "ukonga" 1990; kung'oka kwa "untouchable meya" KK Dar Jiji; kupambana na fyongo nyingi za awamu ya pili.
h) nk.
8(a). Hapo #7, Kenya chachu ya mabadiliko imekuwa, vinara siku zote ni University of Nairobi; wakati kwa Tanzania vinara ilikuwa ni UDSM campus ya mlimani. Rais Mwinyi katu hakuwahi kuipenda UDSM mlimani, akiita kumtusi matusi ya nguoni ilhali hai ndiyo walikuwa Wana vipenzi jeuri wa kuhoji akiwataka JKN siku zote.
8(b) Nyerere alikuwa akifika kwa hotuba masomo yalisimama si kwa ratiba za chuo, bali Kwa mahaba niuwe yaliyokuwapo na kuhimiza kwake vijana kuwa jeuri kweli kweli!
Students march on Columbia University campus in support of a protest encampment supporting Palestinians, despite a 2 pm deadline issued by university officials to disband or face suspension, in New York City, on April 29, 2024
9. Kufukuzwa, kukamatwa, kutekwa na hata kuuwawa Kwa wanafunzi kwenye harakati za mabadiliko makubwa ni jambo la kawaida kwenye nchi na vyuo vyenye kujitambua:
A pro-Palestinian protester is taken away by police at the University of Texas in Austin, Texas, on April 29, 2024
10. Hapo #9, palikuwa na wanafunzi wa University ya Nairobi walioikimbia serikali ya Kenya katika kupigania haki wakapata hifadhi Tanzania na kuendelea na masomo. UDSM mlimani. Katika testimonies zao:
"University of Nairobi kwenye student baraza, traitor alijulikana Kwa kutokuwa na ndoo ya mawe wakishangaa UDSM kuwa kama wachumba tu, hata enzi hizo za miaka ya 1990s kiulinganifu:
11. (a) Hapo #9 walitekwa nyara viongozi wa wanafunzi udsm jijini Dar, kwenye kizungumkuti cha ufisadi na nepotism mkutano wa kimataifa Pyongyang.
(b) Kina Mwakyembe, Migiro nk walitinga bungeni na serikalini ukiwa mwanzo wa wasomi tuwaonao leo kuwapo kwenye nyanja nyeti za maamuzi; kabla ya hapo nyuma, huko ilikuwa mahsusi kwa ma zealots (chawa) tu aina ya kina mnyamwezi na kipikipiki.
(c) Na Mengi ya ahueni tuyaonayo Leo. Izingatiwe kabla ya harakati nyingi hizi hata ma VC, CACO, CADO hawakuwa maprofesa.
CACO - chief academic officer
CADO - chief administrative officer.
Leo wakiitwa DVCs academic na administration.
(d) nk nk
Izingatiwe: mafanikio haya hayakupatikana kupitia mezani yaani maridhiano style Wala haikuwa rahisi!
12. Uwepo wa makachero wa serikali na maofisa usalama kama tiss ya kwetu kwenye vyuo vikuu ili ku shape siasa na kusimika watu wao, kwenye serikali za wanafunzi, nk; kwenye nchi zenya demokrasia kandamizi ni jambo la kawaida.
13. Hapo #9 kina Warioba, Mwabulambo, Garang, Museveni, Kikwette, nk waliokuwa kwenye serikali za wanafunzi na wakaja kuufuma urais, si kwa ajali!
14. (a) Hapo #9, kina Lt. Eugene Maganga na wenzake wakiwa wanafunzi UDSM - mlimani, walikamatwa kwenye njama za jaribio ya mapinduzi ya nchi miaka ya 1980s.
(b) Palikuwa wanafunzi kadhaa wa UDSM Mlimani waliokuwa mashahid muhimu wa jamhuri i kwenye kesi hiyo ya njama hizo za mapinduzi ya akina Lugangira na Capt. Hatty MacGhee.
15. Mlimani ni kizazi kipi chenye kujitambua kilichosoma pale bila kufukuzwa, kusimamishwa shule, wengine kufutiwa ufadhili, misukosuko na polisi, nk; kwenye madai yaliyofikia kwenye maslahi ya taifa kutokea kwenye mambo madogo kama ubovu wa chakula, maji au malazi tu?
Cornell announces more suspensions over Gaza war encampment
Martha Pollack, the President of Cornell University in the state of New York, says the university will suspend more students after they refuse to relocate a Gaza war protest encampment.
16. Marekani inapita sasa kama Tanzania ya miaka ya 1990 na kabla ya UDSM mlimani halisi ya akina Matiko Matare, Bazigiza, Haroun Kimaro, nk iliyopelekea matukio konki kama ilivyoelezwa hapo #7 na tulipo twala matunda pasi na kujua maumivu yaliyo wasibu mashujaa hao:
(a) kuja kwa mfumo wa vyama vingi.
(b) kuachiwa kwa madaktari waliokuwa wameshikiliwa gerezani ukonga; kwenye sekeseke la Mwinyi, Isambe na kanda bongoman.
NB: Si kuwa serikali ya CCM ilipenda kuwaachia madaktari hawa kutoka gerezani au hata kuleta mfumo wa vyama vingi kwa kupenda au kuwa ilifanya kwa hiari.
c) kuongezwa Kwa maslahi ya wahadhili vilivyo na kujumuishwa kwao serikali na sehemu za nyeti za mamuzi; hii ikiwa baada ya wanafunzi na walimu kuungana vilivyo Tahrir, 1990.
(I)Bahati mbaya baadhi ya waliofika kwenye ngazi za maamuzi wakayatelekeza ya yaliyokuwa maono ya harakati hizi. Wao kama kunguru wa Nuhu alipotumwa kuona kama gharika imeisha, kuiona mizoga imetapakaa Kila mahali, arudi safinani kwenye njaa kufanya nini?
(Ii) Dhahiri ikawa Tena mwenye shine hamjui mwenye njaa, ikawa "Not yet Uhuru.'
(d) Kwenye kutekwa nyara Kwa wanafunzi waliokwenda Pyongyang baada ya kufichua iliyokwenda kuwa kashfa kubwa ya aibu ya ufisadi na nepotism CCM; majina mazito mazito ya vigogo na watoto wao yalitajwa, nchi ikatikisika!
17. Serikali makini haiwezi kucheza mbali na vyuo vikuu. Huhakisha kuna utulivu wa kutosha vyuoni kisiasa na ki maslahi. Lengo likiwa kuvidhibiti vyuo vilivyo; ambapo inafahamika hilo si kwa maguvu ya musuli, bali akili kwa akili kubwa.
18. Hapo #18, nabii jiwe aliyekuwa UDSM miaka ya 1990 bila shaka naye akiisakata hii ngoma, aliijua hilo vyema Ikumbukwe kipindi chake alihakikisha hakuna migomo vyuoni kwa kuwanyima sababu. Mikopo na mahitaji yao yalikuwa siku zote ni kipaumbele. Mtu alitumbuliwa mara moja na bila huruma kwa kujaribu kuwakwaza washupavu hao kwa lolote vyuoni huko!
Tense standoff at University of Texas in Austin following student arrests
This is a standoff. We have Austin police and state troopers who are keeping a line here preventing these student protesters from getting any closer to the building where (the police) had been holding those dozens….
19. Ukweli mchungu, kucheza na vyuo vikuu ni sawa na kucheza na moto (jeshi,).
20. Joe Biden amelikanyaga:
Na kwa Hakika: "halita mwacha salama!"