wanaopitia jkt ndio kuingia vyuo vikuu vya serikali

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,579
Hii nyeti nimeipata kutoka kwa mzee wa jikoni so kama hujapata bahati ya kwenda jkt kuingia udsm muhimbili,sua mzumbe udom nelson mandela,must sahau kabisa maana wanataka watu wazalendo tu
 
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana-Nyerere; tumeanza hivyo, sijui mwisho wake ni nini!
na aliyesema JKT ndo linaleta uzalendo ni nani?? Mbona viongozi wote wanaotuingiza kwenye mikataba mibovu, wala rushwa, mafisadi, wanaofanya bihashara za kijangili etc wote walipita huko, tena kwa muda mrefu sana-uzalendo huo umefutika au umedondokea wapi???? Upuuzi sana! je JKT inahitaji Div. 1&2?? ili wakaifanyie nini???*^8**$#^&%$#@*&++++
 
Ki ukwel umenena,kama itatokea hvyo ndo ishara timilifu kwamba wananchi wanatumia vibaya kula zao pamoja na kodi zao zinapaswa kurudishwa kwan viongoz wanaowapa dhamana wamekuwa mabumbwaz siku hizi
 
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana-Nyerere; tumeanza hivyo, sijui mwisho wake ni nini!
na aliyesema JKT ndo linaleta uzalendo ni nani?? Mbona viongozi wote wanaotuingiza kwenye mikataba mibovu, wala rushwa, mafisadi, wanaofanya bihashara za kijangili etc wote walipita huko, tena kwa muda mrefu sana-uzalendo huo umefutika au umedondokea wapi???? Upuuzi sana! je JKT inahitaji Div. 1&2?? ili wakaifanyie nini???*^8**$#^&%$#@*&++++

you should like this
 
Hivi swala la sexual harassment linachukuliwa hatua yoyote huko jkt ambapo wanawapeleka hawa watoto wa form six. Kwasabu wakiorudi wanasema hali ni mbaya kule.
 
Back
Top Bottom