Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Mie nimewasilisha kilio cha wananchi waliowengi wasioweza kufika hapa jamvini wadau!!!
5.Wananchama wa CDM na watanzania kwa
Kweli umejaliwa ujinga. Endelea kuwepo humu uelimishwe.
1. Ili kuzipa uzito hoja taarifa za kikao hicho cha wananchi zingeongeza thamani ya hoja yako.
2. Ulichoeleza ni ubakaji binafsi wa hali ya juu wa democrasia ambao unaonyesha upeo wako wa fikra na maslahi ya kilafi.
3. Hata chama wanautaratibu wa kuwaingiza mamluki kufanya unachokifanya
Kifupi jitahidi kuwa mkweli acha mapishi ya taarifa.