Wananchi washangazwa na udikiteta unaofanywa na viongozi wa CHADEMA

Niliposoma kichwa cha habari kilinifanya niamini kuwa:
Kuna mtafiti kakaa chini na kufanya taathmini kabla na kufikia uamuzi wa kufanya utafiti wenye viwango. Utafiti wenye kushirikisha sampuli wakilishi ya Watanzania wenye uelewa na uwezo wa kushiriki kupiga kura, na wanaotoka sehemu mbalimbali za kila kona ya nchii hii.

Cha kusikitisha, ni mtu kukaa nyuma ya keybord na kuandika yale anayodhani kuwa yatafurahisha kundi analoliwakilisha.
Kibaya wala haweki bayana kuwa anamaslahi kati andishi lake (Does not declere conflict of interest).

Huu ni ujinga (studid)!
 
Watoto wa kuzaliwa nje ya ndoa huwa ni wazushi wasiojiamini.
Ila kama mama akiolewa mapema na wakipata baba hata kama ani wa kambo hutulia kidogo.
Huyu mtoa mada nafikiri ana tatizo hilo na kama asipo kuwa makini kuna siku atazusha kafa.
 
Mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana CHADEMA, lakini tangu walivyomuua Chacha Wangwe moyo wangu umekasirika sana.

Acha uzushi. weka ushahidi kuwa Chacha wangwe aliuwawa na viongozi wa CDM. Hakuna ubishi kuwa CDM ni tishio kubwa kwa wanamagamba. CHADEMA ni kimbilio la wanyonge wa nchi hii ambao ni wengi. Tujadili mambo ya msingi yenye manufaa kwa wananchi kama ugawo wa giza badala ya umeme, ukosefu wa walimu mashuleni, upungufu wa madaktari, dawa, gharama kubwa za maisha nk
 
Bora kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu. Mtoa mada ni hovyo kabisa, Nape elimu yake ndogo hawezi kutuumiza kichwa (magogoni), pili hao wananchi gani Tanzania hii ya leo wanailalamikia CDM? Mimi naamini hata polisi mmewachosha bahati mbaya wanaajiriwa wenye elimu ndogo ambao hawawezi kufanya kazi zenye utaalam ndiyo maana kila kukicha mnawatumia kuvuruga upinzani na sasa mmehamia kwenye kalamu lakini bado hamuwezi kuimaliza CDM iko kwenye mioyo ya watu na siyo mfukoni kama CCM
 
Back
Top Bottom