Naomba na ajitokeze mtu na aeleze faida ya Gesi ya Mtwara kubaki Mtwara...
Pia aeleze hasara za gesi ile kupelekwa katika miji mingine kama Darisalama....Kwa watu wa Darisalama, kwa watu wa Mtwara na Kwa Watanzania wote....
urusi ndiyo nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa gesi duniani na wamejenga bomba la kusafirishia gesi hiyo hadi bahari nyeusi (black sea) ili waweze kuisafirisha kwenda ulaya ambako ndiko kuliko na soko!
Itakuwa ajabu kwa gesi ya mtwara kubaki huko ambako hakuna watumiaji wala soko!
Nadhani kuna upotoshaji mkubwa umefanywa, jitihada zifanyike kutoa elimu sahihi kuhusu gesi na hasa matumizi yake!
Ni kweli kuwa mitambo ya kuzalisha umeme na viwanda vya mbolea vitakavyotumia mali ghafi ya gesi vijengwe mtwara na lindi lakini pia bomba la kusafirisha gesi hadi dar es salaam, tanga, morogoro nk kwa matumizi ya nyumbani na kuendesha magari nk linapaswa kujengwa!
VIJANA WA MUJINI HUA WANASEMAGA OOOOI OOOOOI OOIII
WATU WANGU WA SOUTH SIDE WOTE NA WATANZANIA WENZANGU WOTE WANAOUCHIKIA CCM NA MAFISADI MAKE SOME NOOOOOOOOISYYYYYYY....!!!
CCM WAMETAKA CHAI SASA WANALALAMIKA YA KWAMBA INAWAUNGUZA SASA SSI TUWASAIDIEJE??
HAWAKAWII KUSEMA CDM WANAYACHOCHEA HAYAAA,,
MKUCHIKA NA HAWA GHASIA MFIKISHIENI JEIKEI UJUMBE YA KWAMBA CHAMAKI NCHANGA HALIKI TENAAAAA
oa:horn:
Hizi NGOs na vyama vinavyoshabikia maandamano ya watu wachache wa Mtwara watueleze yafuatayo:-
1. Uzalishaji wa gesi unaofanyika Mtwara
2. Watumiaji wa gesi mkoani Mtwara
Wananchi wasikubali kutumiwa na watu wanaotaka kupata maslahi yao kupitia maandamano
MAFILILI,Tafadhari usituone sisi watu wa Mtwara kama hatuna ufahamu ,Hao Wabunge unaowasema wakatusemee hili si ndiwo wale ambao walizomewa mbele ya Kinana kwenye Mkutano wa Kuitambulisha ile TIMU MPYA YA CCM pale Soko Kubwa kwani wewe haukuwepo siku ile?,tafadhari tuheshimiane kaka.
Urusi ndiyo nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa gesi duniani na wamejenga bomba la kusafirishia gesi hiyo hadi Bahari Nyeusi (Black Sea) ili waweze kuisafirisha kwenda Ulaya ambako ndiko kuliko na soko!
Nipo hapa pande za Bima watu ni wengi mno, foleni ni kubwa sijawahi ona, waandamanaji/wapigananji..wanazunguka barabara kuu huku jeshi la posilisi likiwa nyuma yao lengo kubwa ni kupinga utoaji wa gas ielekee daslam...nyimbo nyiingi wanazoimba ni kwamba hawamtaki hasa ghasia wala mkuchika na gas isiwafate bali wao waifate ilipo....
NB: Kwa hali hii naona watu wa mtwara tumeanza/wameanza kujitambua!! Impact yake gas ikihamishwa itakuwa kubwa kuliko maelezo...we still keep in watching...GAS KWANZA, VYAMA BAADAE!!
More photos to come soon!!Stay tuned!!
Ndugu zangu wa Mtwara nyie ni watu makini, msiponzwe na CHADEMA, maandamano si njia bora ya kudai haki zenu, tumieni wawakilishi wenu kuanzia madiwani hadi wabunge watafanyia kazi kupitia serikali yetu sikivu
maandamano ni haki yao kikatiba na katiba sio mali ya chadema bali ni ya watanzania wote.
hao wawakilishi unaosema ndo kina hawa ghasia ambao wamewafanya wana mtwara kuwa misukule wa ccm.
ccm imewanyanyasa watu wa mtwara na sasa wamechoka.
MAFILILI,Tafadhari usituone sisi watu wa Mtwara kama hatuna ufahamu ,Hao Wabunge unaowasema wakatusemee hili si ndiwo wale ambao walizomewa mbele ya Kinana kwenye Mkutano wa Kuitambulisha ile TIMU MPYA YA CCM pale Soko Kubwa kwani wewe haukuwepo siku ile?,tafadhari tuheshimiane kaka.
Ili iweje?
Kazi yenu ya kuitetea ccm inazidi kuwa ngumu. Huwa nakuambia mara kwa mara hapa, hali halisi ya maisha inawaamsha hadi wajinga wa mwisho toka usingizini. Kazi ya kuwarudisha usingizini tena ni ngumu kuliko maelezo. Subirini 2015 mkione cha mtema kuni!
Hivi maandamano hayo yana uhusiano gani na itikadi za vyama? inawezekana kuna watu wanaandamana hawaelewi kwa nini wanaandamana. Sidhani kama madai ya watu wa Niger Delta yanaweza kufananishwa na hiki kinachoendelea huku Mtwara.
Wanataka kuwe na kiwanda cha kusafisha gesi na kuweka kwenye mitungi ya gesi huko huko Mtwara, ili wapate ajira.Ni haki yao kikatiba kutoa mawazo yao hatahivyo hawapaswi kupongezwa kwa kufuata sera za kikanda badala ya kinchi
Nabwada achana na huyo ''ashindikene'' anataftia watu ban huyo.