Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 645
- 260
moron
Moron your pus
moron
Sioni tatizo hapa, kazi ya Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) ni kuvutia wawekezaji wakubwa wa kilimo kwenye bonde la Rufiji ambalo limekaa tu bila kulimwa huku Tanzania ikiendelea kuomba msaada wa chakula kutoka nje. Wacha waje Wakorea na hizo $50m wawekeze kwenye kilimo. DG wa RUBADA, Aloyce Masanja, anafanya jitihada sahihi kuvutia wawekezaji wa nje. CNN wametumia sensational journalism tu, Tanzania is not selling land to the Koreans, it is leasing the land.
Moron your pus[/QUO
I've touched the nerve yeah? twat!
Moron your pus[/QUO
I've touched the nerve yeah? twat!
Haya mwaga nerve zako hapa na mimi nimwage zangu tuone nani moron zaidi. Check your bottom befor you lip, full of candidosis.
The biggest problem here is that transitional period from ujamaa to ubepari was not transparent to the majority citizens na ilifanywa maksudi kuwapumbaza wananchi ili wananchi waishi na kuwaza ujamaa na watawala waishi na kuutumikia ubepari,ili kutoka hapa tulipo we need to work real hard even to shed some blood otherwise they will privatise even our minds,asses,dicks,wives and kids!
Nitakwambia tatizo lilipo. Kulima shamba la mto rufiji haihitaji elimu ya "rocket science", ni kitu ambacho tukiamua kufanya sisi wenyewe tunaweza. Serikali yetu na watendaji wake ni wavivu wa kufikiri, kuamua, na kutenda na ndiyo maana wanategemea hata kitu kidogo kama kulima bondo la mto Rufiji, basi waje wahisani utulimia. CCM kama chama tawala inao uwezo wa kukusanya mabilioni ya dola kufanya kampeni za uchaguzi, kwanini serikali ishindwe kuwa na dola millioni 50 za kuwekeza kwenye bonde la rufiji? Kwa uchanga wa nchi yetu, ni kweli kwamba kuna wakati tunalazimika kuomba misaada, lakini siyo misaada ya kulima mto rufiji. Hii tabia ni sawa na tabia ya mzazi mvivu wa kulea mtoto. Mzazi mvivu huamua kumchapa mtoto aliyekosea badala ya kumuelimisha. Serikali/taifa vivu hufikiria kuomba omba kabla ya kujitatulia matatizo yao wenyewe. Kwa tabia kama hii, ndiyo maana Ivory Coast wanalima cocoa kuliko nchi zote duniani, lakini hawana hata kiwanda kimoja cha chocolate. Huu ni muhtasari tuu, lakini maudhui hapa ni kwamba utamaduni wa kupenda njia za mkato haujengi.
Ndo serikali tuliyoichagua hiyo.
SUA siku hizi hawako huko. Kwa sasa wamehamia kwenye ufugaji wa panya buku na si kipindi kirefu tutaanza na sisi kuuzia nchi za nje vitegua mabomu haya na kuingiza madollar za Mzee Obama.