Wananchi angalieni nchi yetu inavyoendelea kuuzwa

Sioni tatizo hapa, kazi ya Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) ni kuvutia wawekezaji wakubwa wa kilimo kwenye bonde la Rufiji ambalo limekaa tu bila kulimwa huku Tanzania ikiendelea kuomba msaada wa chakula kutoka nje. Wacha waje Wakorea na hizo $50m wawekeze kwenye kilimo. DG wa RUBADA, Aloyce Masanja, anafanya jitihada sahihi kuvutia wawekezaji wa nje. CNN wametumia sensational journalism tu, Tanzania is not selling land to the Koreans, it is leasing the land.

Nitakwambia tatizo lilipo. Kulima shamba la mto rufiji haihitaji elimu ya "rocket science", ni kitu ambacho tukiamua kufanya sisi wenyewe tunaweza. Serikali yetu na watendaji wake ni wavivu wa kufikiri, kuamua, na kutenda na ndiyo maana wanategemea hata kitu kidogo kama kulima bondo la mto Rufiji, basi waje wahisani utulimia. CCM kama chama tawala inao uwezo wa kukusanya mabilioni ya dola kufanya kampeni za uchaguzi, kwanini serikali ishindwe kuwa na dola millioni 50 za kuwekeza kwenye bonde la rufiji? Kwa uchanga wa nchi yetu, ni kweli kwamba kuna wakati tunalazimika kuomba misaada, lakini siyo misaada ya kulima mto rufiji. Hii tabia ni sawa na tabia ya mzazi mvivu wa kulea mtoto. Mzazi mvivu huamua kumchapa mtoto aliyekosea badala ya kumuelimisha. Serikali/taifa vivu hufikiria kuomba omba kabla ya kujitatulia matatizo yao wenyewe. Kwa tabia kama hii, ndiyo maana Ivory Coast wanalima cocoa kuliko nchi zote duniani, lakini hawana hata kiwanda kimoja cha chocolate. Huu ni muhtasari tuu, lakini maudhui hapa ni kwamba utamaduni wa kupenda njia za mkato haujengi.
 
Tanzanians... WE HAVE A LONG WAY TO GOO!!!!!! (I dont know even where to start)
 
The biggest problem here is that transitional period from ujamaa to ubepari was not transparent to the majority citizens na ilifanywa maksudi kuwapumbaza wananchi ili wananchi waishi na kuwaza ujamaa na watawala waishi na kuutumikia ubepari,ili kutoka hapa tulipo we need to work real hard even to shed some blood otherwise they will privatise even our minds,asses,dicks,wives and kids!
 
mkuu.... ahsante... lakini mimi nadhani its from Ujamaa kwenda kwenye ubeberu... kwani hawa mafisadi si mabeberu..... financial oligarchies
 
Miaka kadhaa ijayo atatokea Mugabe wa Tanzania kuturudishia ardhi yetu inayopokwa kwa visingizio vya uwekezaji.

Kama Tanzania ina ardhi ya kutosha kwa nini wawekezaji wapewe maeneo ambayo wazalendo wapo???
 
Nitakwambia tatizo lilipo. Kulima shamba la mto rufiji haihitaji elimu ya "rocket science", ni kitu ambacho tukiamua kufanya sisi wenyewe tunaweza. Serikali yetu na watendaji wake ni wavivu wa kufikiri, kuamua, na kutenda na ndiyo maana wanategemea hata kitu kidogo kama kulima bondo la mto Rufiji, basi waje wahisani utulimia. CCM kama chama tawala inao uwezo wa kukusanya mabilioni ya dola kufanya kampeni za uchaguzi, kwanini serikali ishindwe kuwa na dola millioni 50 za kuwekeza kwenye bonde la rufiji? Kwa uchanga wa nchi yetu, ni kweli kwamba kuna wakati tunalazimika kuomba misaada, lakini siyo misaada ya kulima mto rufiji. Hii tabia ni sawa na tabia ya mzazi mvivu wa kulea mtoto. Mzazi mvivu huamua kumchapa mtoto aliyekosea badala ya kumuelimisha. Serikali/taifa vivu hufikiria kuomba omba kabla ya kujitatulia matatizo yao wenyewe. Kwa tabia kama hii, ndiyo maana Ivory Coast wanalima cocoa kuliko nchi zote duniani, lakini hawana hata kiwanda kimoja cha chocolate. Huu ni muhtasari tuu, lakini maudhui hapa ni kwamba utamaduni wa kupenda njia za mkato haujengi.

Nancy,

you have hit the point.

Ni kweli kabisa Serikali yetu haswa ya kikwete ni vivu kabisa. Kikwete ametumia muda mwingi kabisa kuzunguka duniani eti kwa sababu kwamba anatafuta wawekezaji...! Huu ni uvivu wa kufikiri pamoja na kujidharau kabisa kwa kuona sisi wenyewe hatuwezi kupata hayo maendeleo mpaka tuyapate kutoka kwa wawekezaji kutoka nje.

Mbona zamani tulikua na mashirika ya umma makubwa kabisa yaliokua yakishiriki katika kilimo? Kilimo cha Tumbaku, Kilimo cha Kahawa, Kilimo cha Mkonge etc...! Hata hivo haya yote yalikua mikononi kwetu kwa sababu ya kupenda ubinafsi, wizi na kushindwa kuwa na uwezo wa ujuzi wa kuendesha makampuni haya.

Hata hivyo sioni bado sababu ya kumuita muwekezaji kutoka nje aje kuendesha bonde la mto rufiji. Kama tuliweza kupata mabilioni ya fedha za kampeni sioni kwanini tumeshindwa kuamsha na kuchochea wananchi katika uwekezaji. Tumekua na tabia ya kuwaendekeza wawekezaji kutoka nje na kudharau wawekezaji wa ndani kwa kasumba mbalimbali.

Ukuangalia kwa umakini hii interview utaona kwamba huyu muandishi wa habari alikua anauliza maswali ambayo ni genuine na maswali ambayo watu wengi wangependa yajibiwe au wanatarajia kuona matokeo yake. Ni ukweli usiofichika kwamba baada ya muda mfupi utaona huu mradi utaishia kwenye mifuko ya watu wachache kama ilivyokua katika miradi mingine mikubwa ya Serikali....!

Pia ingekua vyema Serikali kuwa inashirikisha wananchi au kutoa taarifa za miradi mikubw akama hii ili kutoa nafasi kwa wanachi kutoa ushauri au maoni yao...! Hii itasaidia kuondokana na kuingia ubia na makampuni feki kama ilivokua kwa TANESCO na RICHMOND
 
Yale mashamba ya NAFCO nini kilitokea. hivi haya mamb hatuwezi kufanya wenyewe mpaka waje watu wengine. Kuna mashamba mengine yalikuwa kule mbeya kama sikosei chunya. sijui production yake ikoje

IS it that managament kwetu imekuwa rocket science.

Anyway hili wazo sio baya lakini but.......
 
na bado, wazungu wanakosa kutokana na mali tulizo nazo ila sisi wenyewe fo fo foooo.
 
Ukiwa na akili za "shake well before use" ndio matokeo yake hayo.
Ile technique waliyotumia kupata hela za kampeni wameshindwa kutumia tena tukapata hizo $ 50m?
 
Duh huyu jamaa ni kilaza hmana mfano hata mawswali yenyewe anayojibu hayaelewi maskini ya Mungu
 
SUA siku hizi hawako huko. Kwa sasa wamehamia kwenye ufugaji wa panya buku na si kipindi kirefu tutaanza na sisi kuuzia nchi za nje vitegua mabomu haya na kuingiza madollar za Mzee Obama.

kila siku nasikia panya buku panay buku, mwak wangapi sijuhi huu, hii imekaaje? hau aho panya ni wagumu kuelewa kama waTZ? maana hii kitu ni miaka zaidi ya 20 sasa nasikia panyapanya lakini sijasikia mafanikio yake
 
Na katika maeneo waliopigia kura chama cha wezi ndo watakuwa wa kwanza kuuzwa. Acha waibiwe. Wawakilishi(Wabunge) wao ndio hao wezi, sasa watamlilia nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom