Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Hawa nao wanafiki. Kama wanachukia ufisadi hivyo mbona wanawalinda mafisadi? Wamesahau mara hii Shimbo alivyowatisha wananchi wakati wa kuelekea uchaguzi ulioghubikwa na rushwa na uchakachuaji? Kwani jeshi lenyewe ni safi au unafiki na sanaa tupu? Hayo maneno yao yangekuwa na maana kama wangeamua kuwakamata mafisadi waliomshinda mkubwa wao. Hebu tuwape majina ya wachache Jakaya Kikwete, Benjamini Mkapa, Anna Mkapa, Salma Kikwete, Ridhiwan Kikwete, Andrew Chenge, Dr Hosea wa TAKUKURU, Edward Lowassa, Basil Mramba, Daniel Yona, Mohamed Dewji, Didace Massaburi, Zakhia Meghji, Ali Hassan Mwinyi, Nazir Karamagi, Malegesi, Idd Simba, Azim Dewji, Dr Idris Rashid, endeleza... Je wanajeshi wanadhani watanzania ni mataahira au watu waliopoteza kumbukumbu?