wanafunzi wote wa kidato cha sita tuungane kwa tamko moja kupinga maamuzi ya jkt......awamu ya 3

inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.

Chuo bila jkt inawezekana!!. 2paze sauti kwa pamoja kama kweli 2napenda elimu, jkt kwa sasa mda wake umepita, sasa ni chuo kwanza ukakamavu baadae. Cha msingi 2siende JKT mpaka 2one itimisho la serikari kuhusu huu mchanganyiko wa mambo."ELIMU KWANZA UKAKAMAVU BADAE"
 
Me n undergraduate Udsm the home of intellectuals 2013-2014 jeshi la kngese halini husu..

intellectual unadhihak chombo cha ulinzi!!! Then jesh hapo haliusiki na hiyo mipango kwan kazi yake ni kutekeleza agizo la serikali.so lawama zielekezwe serikalini na sio kwenye jeshi letu...
 
Michael snow...
hawa watoto wanadhani kusoma udsm ndio kuwa intellectual... jamaa hata hajui miamala ya serikali inaongozwaje...

hawa walikuwa wanadhani jkt walikua wanacheza kidali pooo wakati wanatoa taarifa za kupokea wanafunzi kwa session tofauti tofauti hadi january...

wacha waendee waendeee tena waendeeee, chuo may kama hutaki nenda hiyo october sasa
 
Last edited by a moderator:

serikali yetu nina enjoy sana
 
Last edited by a moderator:
Jishebedueni tu, jeshini mwende mmezidi umayai.

umeona eeh? wakapige kwata wamezidi kujilegeza, nimewafuatilia katika uzi huu wanalialia tu, kwa taarifa tu huku kulialia dawa ni kwata, Nuwa za nguvu, root za kutembea na kukimbia za kutosha, full peck, ruka vikwazo! Sana ni kushauri muda uongezwe, angalau miezi minne.
 
DUH! tumekaa sana mtaani toka mwezi feb ati! twende sasa alafu turudi mwezi wa 1 then tusubiri hadi mwezi wa 5 kwenda chuo! Labda nikapate ukakamavu wa kukaba maana kitaa life gumuu!
 
unajua hata ilivyokua kipindi cha nyuma mtu alikua hapati ajira mpaka uonyeshe cheti cha jkt....na ndivo itakavyokua,therefor ucpoenda sasa hivi kwa kuchaguliwa utaenda badae kwa kuomba! kwa mtazamo wangu binafsi ni vyema kuwasiliana na vyuo kuhusu admmision n regstrtn zetu kama zitatusubiri au laa! kama wakisema nendeni jkt thn mkitoka huko mje chuoni kwa utaratibu a..b..c...SAWA tuende huko jkt. Ila kama chuo wakiwa tofauti na jkt(hawatamsubiria mtu na kumuwekea nafasi) basi apo akili kichwani kipi cha muhimu kwako. Mimi naanza kupiga simu hukoo chuoni nlikopangiwa kama wanaweza kuniambia chochote kitakachonitoa SINTOFAHAM!
 
Acheni ujinga uandamane ili iweje? Jeshi halina maandamano wala mgomo sasa nyie andamaneni cha moto mtakiona! Msituvune chuo utaenda hata miaka 3 ijayo lakini lazma uje huku!
 
umeona eeh? wakapige kwata wamezidi kujilegeza, nimewafuatilia katika uzi huu wanalialia tu, kwa taarifa tu huku kulialia dawa ni kwata, Nuwa za nguvu, root za kutembea na kukimbia za kutosha, full peck, ruka vikwazo! Sana ni kushauri muda uongezwe, angalau miezi minne.

haha..guard ya kwanza, heshimaaa kulia..nguruti permanent!!
 
unajua hata ilivyokua kipindi cha nyuma mtu alikua hapati ajira mpaka uonyeshe cheti cha jkt....na ndivo itakavyokua,therefor ucpoenda sasa hivi kwa kuchaguliwa utaenda badae kwa kuomba! kwa mtazamo wangu binafsi ni vyema kuwasiliana na vyuo kuhusu admmision n regstrtn zetu kama zitatusubiri au laa! kama wakisema nendeni jkt thn mkitoka huko mje chuoni kwa utaratibu a..b..c...SAWA tuende huko jkt. Ila kama chuo wakiwa tofauti na jkt(hawatamsubiria mtu na kumuwekea nafasi) basi apo akili kichwani kipi cha muhimu kwako. Mimi naanza kupiga simu hukoo chuoni nlikopangiwa kama wanaweza kuniambia chochote kitakachonitoa SINTOFAHAM!

dah, the name suited u very well ..such a smart cookie!
 
Sugu yupi...?
Au ndo yule ----- aliyeimbaga mitusi (anti virus) kumkejeli ruge wa clauz....
au ni yule mwanamasumbwi wa bungeni....
jamani lile ni liboya tu linaelea mpaka kwenye hewa...

ni liboya kivipi yaani,kwaiyo wananchi wa Mbeya city wana akili mbovu kama ya kwako,acha ujinga wewe.
 
Back
Top Bottom