Wanafunzi waliomaliza Kidato cha 4 wanavyotapeliwa na taasisi za serikali na binafisi, Wizara ipo inaangalia

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,736
Wakuu kuna utapeli umeanza kukita mizizi sasa na huo utapeli cha kushangaza hadi taasisi za umma zinaufanya huo utapeli.

Kinacho tokea ni hizo Taasisi kuchukua namba za wazazi wa Watahiniwa wa mtihani wa kidato cha nne, na wanacho fanya huwa wanaenda kwenye zile shule zinazo fanya mitihani wanawaachia pesa kiasi walimu na Msimamizi ila sana ni Walimu, hapa zile taasisi huwa na fomu zao ambapo mwanafunzi hujaza majina yake na namba ya simu ya mzazi pia na namba ya mtihani.

Baada ya hapo sasa hukaa na kungojea matokeo yatoke, na hapo huanza kufuatilia kuona ufaulu, sasa ikitokea wanafunzi wamefeli labda kapata DDD na F za kutosha wanakuwa na uhakika huyu haendi chuo wala hachaguliwi kidato cha 5.

Hapo sasa jamaa humpigia mzazi wa mwanafunzi simu na kumwambia mtoto wako amechuguliwa kujiunga na chuo FLAN na hivyo hata chaguliwa sehemu nyingine yoyote hivyo njoo uchukue fomu au tutakutumia fomu ujaze.Mzazi hushangilia kwa sababu hajui na huona ni kapangia na Serikali kumbe ni utapeli mkubwa sana.

Hivi vyuo ni vile vinavyo jitangazaga kwenye magazeti ya Udaku, na kozi zao za ajabu ajabu mara Air ticketing.

UTAPELI ULIVYO
Kama Chuo kiko Mwanza, utapeli watauanyia kanda ya Kaskazini na kati huko make kwa Mwanza wanajua watagundulika, hivyo watatapeli wanafunzi kutoka mikoa ya mbali ambao hawajui hicho chuo,

TAASISI ZA SERIKALI
Chuo cha Uhasibu Arusha na Chuo cha Ushirika Moshi ni moja ya taasisi za Serikali zinazo fanya huu utapeli, Chuo cha Uhasibu Arusha huchukua majina ya wanafunzi walio feli wenye DDFDFD na huwapigia simu wazazi wao na kuwaambia mtoto wako amechaguliwa kujiunga na Chuo cha Uhasibu Arusha kusomea certficate ya uhasibu, hivyo njoo chukua fomu.

Lengo hapa ni pesa zinatafutwa na wanatumia ignorance ya wazazi kwa sababu mzazi akisikia mtoto wake kachaguliwa chuo cha uhasibu Arusha basi mzazi anaona mtoto kawini maisha.

Sasa wakisha soma wakamaliza certficate hawataendelea na Diploma bali huambiwa waende kwanza wakatafute D au C ya hesabu ndio warudi kuja kusoma Diploma, sasa jiulize wakati wanawachukua hawakuona kwaba mtoto hana D ya hesabu?

Hivi vyuo vinatumia Ignorance ya Wazazi kuwahadaaa kwamba wamechaguliwa kujiunga na chuo fulani, kwa sasa hii ndio mbinu yao ya kupata wanafunzi kirahisi sana.

Wizara mambo kama haya wanapaswa kuwa wanayajua sana ila ndio kama hivyo haiwahusu.
 
Njaa mbaya
 
Hawa wafungiwe, umbwa kabisa
 
Back
Top Bottom