Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa.
Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini 2024 ni mkubwa zaidi.
Maafisa elimu wamewageuza wakuu wa shule dampo la kujifichia, mkuu wa shule atakayekutwa na idadi ndogo ya wanafunzi anatishwa na kutukanwa.