Sugar wa Ukweli
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 373
- 37
tatizo hawa wenzagu hawataki kupiga msuli,wanataka kufaulu kwa mteremko,matokeo yake ni kujilengesha kwa malecturer ambao na wao wanatake advantage kwa weakness zetu,tupige msulia kina DADA,tutaheshimika!!