Wanafunzi wa vyuo na biashara ya ngono

Mfumo wa maisha na mila zinamfanya mwanamke wa Kitanzania awe ni kitoweo cha wanaume. Na analelewa na Kuwait kutumikia starehe za mwanamme. Ni wachache sana wanaojikomboa na kuelewa kuwa wao ni vazi la mwanamme na mwanamme ni vazi kwao, kwa maana ya kuwa wote wanahitajiana kustiriana.

Vazi kwanza hukustiri na baadae ndio urembo na starehe. Laiti wanawake wangelijuwa hilo wasingejiuza kama bidhaa mbovu. Na wanaume wangelijuwa hilo wasingekwenda kununuwa bidhaa mbovu.
 
Dodoma machangu ukiuliza shughuli yake anasema mwanachuo UDOM,
Muulize Course gani..... TEACHING

Hahaha. . .umenikumbusha. . .kuna m1 pale ambiance alinishika kamba yuko IFM- kozi gani sasa mf. . .Geography na English.
 
Mkuu, binafsi sishangai kwani hayo mambo yanatokea dunia nzima. Hapa ninapoishi, nimeenda shule na mabinti wawili ambao wamekiri kwamba wamekuea wakifanya Internet PORN ili kulipia ada za shule. Kuna wengine wengi tu ambao nawafahamu na ni mastripper kwenye Night Club wakisaka pesa za ada ya shule.
 
haya yapo,, wengi wanaotaka kuishi kifahari ndio wanatumbukia kwenye uchangudoa, mimi nipo moro na tunawaona kinadada wengi wa vyuoni mf. Sua, mum,motco wakisaka mshiko kwa staili hii.
 
imeandikwa sana kwenye vyombo vya habari kuwa kuna madenti wana desturi ya 'kujiuza' na hata baadhi ya vyuo vimetajwa tajwa kama vile ifm, saut, udom na hata mabibo hostel imehusishwa. Kisha nikasikia kuwa kuna sehemu kadhaa ndio sokoni, kama sinza na club fulani mwanza. Nina ndugu yangu anasoma saut yeye kaniambia kinachoendelea ni mahusiano ya kawaida ya kimapenzi ndiyo yamekithiri na sio biashara ya uchangudoa. Mimi mwenyewe nimepitapita sehemu tajwa za burudani, nimejionea mabinti wa chuo wamependeza na wako kiburudani zaidi na sio kibiashara na wapenzi wao. Kwa nini kuwasingizia watoto wa watu biashara wasioifanya? Nimewacheki waje machangu wanaosimama barabarani hakuna wa college pale japo wanakijua sana kizungu.

Nawakilisha.

mkichangia naombeni saaaaaaana msinitukane. Niko allergic na matusi wapendwa wangu wa jf.

waliojipanga barabarani na walio ndani ya baa wote wanafanya biashara ile ile-uchangudoa. Tofauti ni kuwa hawa machangu wa sauti, ifm, udom etc kwa kuingia ndani ya baa na kujifanya wako pale kustarehe wanaifanya hiyo biashara kisomi zaidi. Isitoshe mwanafunzi gani yeye kila siku yuko kwenye starehe?
 
Biashara hii walikua wanaifanya baadhi ya wanafunzi wanaosoma overseas mfano Malasia, USA,UK, n.k na walikuwa wakifanya hivyo kwa kujua ni vigumu watanzania wengine kujua hivyo heshima yao kwa watanzania itabaki palepale. Ukimbabatiza ambae hajui wewe ni mtanzania anakutajia bei hapo kwa hapo. Lakini akijua wewe ni mtanzania anakwambia yeye hawezi kwenda na mwanaume saa hiyohiyo. na hata umtongoze vipi unaweza usimpate. Lakini kwa hapo home TZ sijui imeanza lini, haikuwa hivyo before.
 
Kwani mkuuu hujapitia chuoni? kwa maana ya kusoma, kama jibu ni ndiyo basi at least utakuwa na kaozoefu fulani kuhusu hili.
Binafsi nafahamu wapo(baadhi) hasa kipindi boom likikata na hata mapapaa wa mjini wanafaham kipindi hawana ndo wanakuwa wapole hao, na wala halina ubishi kwani tuneyaona lakini hata kama upo chuoni lakini si mtu wa kujichanganya huwezi kuwaona, mi binafsi nilipita siku moja usiku mitaa fulani hapa mwanza nikamuona binti ninaye mfahamu, kwanza sikuamini akiwa anawinda nilipompigia simu alidai yupo hostel wakati mim namuona anapokea sim.
 
Unajua ukimapproach changudoa yoyote, anapenda kujipandisha grade so anasingizia yuko chuo na wengine wanafoji hivyo vitambulisho ili kuvutia biashara yao lakini sio wanachuo bana!

Samahani kuuliza; hivi katika manunuzi ya huduma toka kwa Changu wapi KITAMBULISHO kinatumika??? Maana sidhani kama mkishaelewana bei kuna maswali ya KAZI YAKO NI NINI??? Umemkuta sokoni; kazi yake ni MCHUUZI-PERIOD!!!!!

Kama kuna wanafunzi basi wanaowatambua watatusaidia kwa kutujuza wanawatambuaje????
 
bum linapokata hali huwa mbaya sana Young A.. Lisemwalo lipo.
 
hata mm niliwachukua na wanatoka tu ni pesa yako, wala sio vyuo hivyo tu ulivyovitaja
labda nikuulize, wewe ulitaka wanachuo tu wachukuane? mbona kuna maTutor? sio halali awe na mwanachuo mwenzake tu hata na sisi Raia kuna vitu kibao tunawaridhisha na kuwasaidia acha wagawe na kujiridhisha kwa wanathamini Usiri kuliko Chuoni wanakua wamejianika, wangojee kwenda JKT huko watayaona mengi
 
Naomba tuelewane Ukwaju, Kuchukuana mbona ni mambo ya kawaida! Hata kama anachukuliwa na watu wawili watatu hivi, tunasema huyu ana wapenzi wengi au mtandao wake umepanuka. Ninachomaanisha ni uchangudoa haswa, yaani kupeleka biashara sokoni kwa mnunuzi yoyote atakayejitokeza.
 
Last edited by a moderator:

Wadada wazuri ndo hua wana faulu nawakaka wenye pesa we rekchara wako ndo anae kusahihisha je kama uligongana nae kona utafaulu kweli? Mitaala ya elimu ya tz bana mpaka hesabu za kuchakua unapata!
 
Naomba uhakika wa jambo hilo, ili nimwachishe chuo mke wangu, maana yuko katika moja ya vyuo hivyo. Mnanitoa roho, nilidhani kaenda shule, kumbe kafungua biashara nyingine???????? Najuta kuoa msomi!!!!
 
Back
Top Bottom