Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
hapa unataka lazimisha YES kuwa NO!!! JAMAA ALIKUA NA DIV3 TENA YA 24 O-LEVEL..lakin mpaka hapa hivyo vyuo vya st.. na hiyo ud vimetusaidia nini katika hili dimbwi la shida na stress hapa bongo??? JE KUWA NA DIV 1 NA KUENDA UD NDO SULUHISHO LA HAYA MATATIZO YETU HAPA BONGO??.....
Nimewafuatilia wote wawili na Mwana Mnyonge mna point ila mmetofautiana sehemu ndogo, kwanza nakubaliana na Mwana Mnyonge kwamba ufaulu wa O-level ni kigezo kikubwa kupata nafasi chuo kikuu si UDSM pekee hata vyuo vingine pia hata huyo mwenye Division 3 ya 24 O-level kama alivyosema LORDVILLE nadhani walichoangalia ni point katika masomo yake ya msingi kulingana na fani aliyoomba tofauti na mtu kapata point 24 kama huyo wa kwanza alafu amegonga B ya Civics alafu akapiga B ya cookery mengine pamoja na yale entry point kagonga D yote (hapa hapati kitu). Hii ya kuangalia O-level inatumika hasa kuangalia baadhi ya wanafunzi unakuta A-level hakupata maksi za juu sana hivyo pass ya O-level inatumika kuangalia kama kweli akichukuliwa ataweza, si unajua tena mtu anaweza akafaulu vizuri A level kumbe O level alipita kibahati.
Nje ya point: Kiukweli mtu aliesoma vizuri O level nikiwa na maana amefundishwa vizuri na kuelewa ni kigezo tosha cha kufanya vizuri huko mbele
Last edited by a moderator: