kama mtu amegraduate MBA mwaka jana na unamuuliza title, objectives, na conclusion ya thesis yake wakati wa interview. Lakini Majibu yake yanakuwa hayaendani .Mfano title anasema suala la masoko ya nyama ya Ng'ombe.Conclusion , anakwambia kuhusu masoko ya masula ya madawa ya binadamu.Na hawezi kutetea link.
Nasema UDSM ni chuo bado bora ila mfumo wa kudahili wanafunzi wengi unawafanya maprof na Dr kukoswa mda wa kuwasimamia kwa ukaribu hivyo watu kutafuta loopholes za kufanyiwa thesis mtaani na hasa ukichukulia watu wengi wanakuwa na tamaa za kugraduate within 2yrs.
Kwa hiyo kubisha tu haisiidii nadhani ni muhimu kuangalia mfumo na workload za maprofessor wetu kuliko kuseam qulity ya elimu yetu ya UDSM na vyou vingine kuw bado iko juu kama miaka ya 90.
unachoongea ni kweli kabisa ila sio tatizo la UDSM pekee ni la vyuo vyote esp vyenye evening programs. wengi ni wafanyakazi hawana muda so huandikiwa.