Wanafunzi shule Ya Msingi Wamzomea Diwani CCM. Wamuita Fisadi na Kumrushia Mawe

Safi sana Wanafunzi!

Mabadiliko ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi hakuna lisilowezekana!!

Twanga kotekote!
 
Hapo ndipo ilipotofauti ya CCM na magenge ya wauaji, kiongozi wa CCM akizomewa au kupigwa mawe anainama chini kwa aibu kisha anakwenda kujitathimini sababu ya kuzomewa. Viongozi wa magenge ya wauaji wakizomewa na wananchi wanawaagiza makundi ya wauaji wawapige mawe hadi wafe wazomeaji.

Wewe ni laana no wonder wanao kujua wanasema unapumuliwa kisogoni wewe
 
Mkuu, nimeifuatilia michango yako mingi nimegundua kitu fulani. Kitu kinachoitwa "tafakuri" kwako ni tatizo kubwa na sugu. Nadhani unatawaliwa zaidi na ushabiki kuliko busara.

huyo ndio mwigulu mwingine photocopy yan utamjua tu kwa maneno yake!
 
Busara ni kushabikia vijana wetu kupiga mawe wote wanaopingana nao mitazamo, au kuwauwa wote wanaonesha kukupinga kwa njia uliyo ichagua?

swala la mawe ni laana ambayo utaibeba milele!

Hivi mwingulu kwanini una roho ya mauaji? Mwambie Nape muwe mnaenda wote kanisani kidogo inaweza kukusaidia!
 
Hapo ndipo ilipotofauti ya CCM na magenge ya wauaji, kiongozi wa CCM akizomewa au kupigwa mawe anainama chini kwa aibu kisha anakwenda kujitathimini sababu ya kuzomewa. Viongozi wa magenge ya wauaji wakizomewa na wananchi wanawaagiza makundi ya wauaji wawapige mawe hadi wafe wazomeaji.
Aaaah Mwigulu LN Nchemba taratibu na hii identity yako ya Burn karudi!!
Kwa sasa Tanzania hakuna muuaji maarufu kama wewe maana umetajwa hadi bungeni kuwa uliua Igunga, Arumeru na sasa jimboni kwako kabisa ili upate Public Sympathy baada ya kubanwa vilivyo na M4C. The Hague kwa kijana mdogo kama wewe sio mahala pazuri, huu utawala unaoshikilia umebakiza miaka mitatu tu ya kukulinda, watch out
 
Safi sana Wanafunzi!

Mabadiliko ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi hakuna lisilowezekana!!

Twanga kotekote!

mi siwasupport hao wanafunzi. Huo ni utovu wa nidhamu. Watoto wafundishwe hekima huko mashuleni jamani. Kizazi cha sasa kinazidi kuporomoka kimaadili.
 
Busara ni kushabikia vijana wetu kupiga mawe wote wanaopingana nao mitazamo, au kuwauwa wote wanaonesha kukupinga kwa njia uliyo ichagua?
inawezekana wakati unazaliwa ulianza kutoka miguu.....sio kila kitu lazima uchangie acha popompo hata kama unalipwa
A%20S-baby.gif
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Hoho manispaa ya Iringa wamemzomea diwani (CCM) wa kata hiyo na kumuita fisadi.

Inasemekana mmoja wa hao wanafunzi alimrushia Mh. huyo mawe huku wengine waliosadikiwa kuwa darasa la 4 na la 5 wakimuonyesha vidole viwivili "V" Ishara inayotumiwa na CHADEMA.

Cha kushangaza ni kwamba hawa watoto waliweza kumwimbia huyo kiongozi wimbo wa "pipoz power" kitendo ambacho kiliwavutia watu waliokuwa wkipita hapa na kubakia kucheka.

Huyu diwani aliyekuja kuitembelea hiyo shule aliondoka kwa aibu...naona hata watoto wetu wanazinduka. Bado Tanga tu.

Chanzo, nipo iringa. nimefika shuleni na kuthibitisha tukio
Tulishawashauri hao CCM kuacha siasa katika shughuli za kiserikali. Hebu niletee picha ya Mukama katika sherehe za Mei Mosi Morogoro, alivaa nini. (Huwezi kuvaa night dress offisini). Shauri yenu, mtavuna mlivyopanda.
 
Nani amekudanganya kuwa enzi za Ccm zimepita? Kama zingekuwa zimepita sasa hivi kisingekuwa Ikulu.
Call your enemy what you are, and always tell the exact opposite of the truth.

Hata wewe unabisha? kaulize Chato, ila kama haumini kabisa basi kuwa Tomaso hapo 2015
 
...mh je katika hili hakuna kamchango ka kamgomo baridi ka walimu wetu...... just thinking aloud, if so I hope they will be bold enough when the time for the ballot in 2015 arrives....
 
QUOTE=Catherine;4267914]mi siwasupport hao wanafunzi. Huo ni utovu wa nidhamu. Watoto wafundishwe hekima huko mashuleni jamani. Kizazi cha sasa kinazidi kuporomoka kimaadili.[/QUOTE]
Itakuwa ni kuwafundisha heshima ya kijinga ni sawa na kuwaambia wakimwona mwizi wasimwite mwizi wamshangilie kwa nyimbo na vigelegele. Watoto wameshaamka wanajua ni kwanini wanakaa chini darasani na elimu duni wanayoipata imesababishwa na hawa jamaa zetu wa Mabwepande ndio maana wanawazomea daima wakiwaona, na ni kwasababu tu hawana uwezo wa kuwapiga, vinginevyo wangewachoma moto.

Viva Watoto wa Iringa.
 
Back
Top Bottom