S Seif al Islam JF-Expert Member Nov 14, 2011 2,156 638 Jul 20, 2012 #41 Hebu umwache diwani wa watu akae mbona hata mkuu wa kaya kapigwa mawe mbeya mara nyingi tuu hamsemi?