johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,113
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa ameishauri selikali kufuta mabweni kwenye shule zote za Msingi Sekondari na high school ili watoto walelewe kimaadili na Wazazi wao
Mchungaji Msigwa amesema kuondoa mabweni kutawaepusha Wanafunzi na mahusiano ya Jinsia moja
Msigwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa twitter kufuatia Serikali kuondoa mabweni kwa shule za Msingi hadi darasa la 4
Sabato Njema!