Mlipuko mkubwa unapotokea ni busara ya kawaida kabisa kwa waliondani ya nyumba kukimbilia nje, na wale walio nje pia hukumbilia ndani. Mlipuko wa M4C uliopo na unaozid kutolewa na CDM ni lazma usababishe wenge flani lenye kama 640GB na hivyo kufanya wa nje kukimbilia ndani na wa ndani kukimbilia nje. Katika mazingira haya ya sasa, mtu anayekihama CDM na kuelekea CCM, Kwa kweli tumuache tu mana inaonekana hajui anataka nini.Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Anayejua hesabu agawanye vitongoji 6 na wenyeviti 918 unapata ngapi?.Maana yake ni kwamba kila kitongoji kina viongozi 153! Sijawahi kuona vitongoji vikubwa kama hivi!
Wanahamia chama kinachokufa!!!Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Hapo uko sawa kamanda ni sawa na shingo kuonekana shimoni!!!Huu ni uongo wa kutisha, ni sawa mtu akwambie amemuona tembo yupo juu ya mti!!!!!!!!!!!!!
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Wamefanya jambo la maana sana kwa kuhama toka chama cha Ukanda wa Kaskazini.
Great thinkers!!! Muwe mnachambua mnacholetewa humu