Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
 
Tunawatakia safari njema, wakiimarishe chama chao kitakapokuwa cha upinzani. This is sooner than one could expect
 
kweli wanaboa hawa wanachama wanaoyumbayumba, mara ccm mara chadema. yaani ukikosa cheo huku unakimbilia kule. Patamu sana
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Huu ni uwongo wa kutisha
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu? Uko serious mkuu kuwa huko Meatu viongozi wa kata 6 wapo 918?
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Meatu ya wapi hiyo unaidanganyia?
 
acha upuuzi
 
hakuna mwenye akili anayeweza kujiunga na magamba. magamba yanaweweseka, hiyo si kweli. acha kufanya watanzania wajinga. imekula kwako.
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Kawadanganye wajinga wenzako ccm kule!
 
Kwani mimi nikijamba lazima na wewe ujambe ha ha ha ! akili imejaa gundi hii! we si ungekunya kabisa ha ha ha! jaribu nyingine hii ya kitoto sana kama ya Lusinde BIG LOOOOOOOOOOOL!
 
Wamefanya jambo la maana sana kwa kuhama toka chama cha Ukanda wa Kaskazini.
 
Back
Top Bottom