Wanachama wa CHADEMA wilayani Meatu wajiunga CCM

kama ni kweli itakuwa ni janja tu ya magamba kutaka kubalance baada ya kuona viongozi wao wanakihama chama chao..wanataka kuficha aibu
 
Hao niwale wafata maslai atuwataki hata ss bora wameenda katika shimo la taka safari njema bye byeee!!!:nb: wakapimwe akl Kamanda.
 
Mwenye akili timamu hawezi kuhama CDM now kwenda Magambani, kama kweli basi chunguza uwezo wao wa kufikiri
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Jiheshimu tafadhali...usiige tembo kunya utapasuka.....
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Huyo katibu katumwa na VUVUZELA LAO hakuna MTZ ambaye anaweza kuchukua uamuzi kama huo. kwa jinsi wanavyopenda sifa hawa magamba Ingekuwa kweli tungesikia katika Taarifa za habari.
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Hii habari niliisikia hivi:
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 6 wa vitongoji wa wilayani 918 za Meatu,wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source: Radio Kifua FM 9.18
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu? Uko serious mkuu kuwa huko Meatu viongozi wa kata 6 wapo 918?

hapo umemshushua huyu magamba aliyetukuka kwa uongo kama waziri pinda
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Hata ukituambia wewe ni Salma hatushangai
 
Huyo katibu ni kahaba tu wa kisiasa hana lolote anataka kumfurahisha Nape na Mukama kuwa yupo kazini.Wasukuma wa Meatu wamechomewa nymba na kuhamishwa kwa nguvu ITV inaonyesha mateso ya serikali kwa wananchi wenzao nani anathubutu kuhamia magamba hata kama analipwa.?.
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

naona mnataka kukirudishia uhalali wa kuungwa mkono na watanzania, hata basi japo lingeandika gazeti la udaku tujue kweli taarifa ipo mjini, kkumbe mnatangaza wenyewe????????
na yule diwani wa hko monduli waliewakimbia na kuja kwa vijana wa combati mbona hujamsemea??????????
 
Wewe dogo acha siasa za majitaka na umbea pamoja na uzushi uliokithiri unaoambatana na uongo wa hali ya juu.mimi ni mkazi wa jimbo la meatu na naifahamu meatu zaid ya wewe unayejitapa kuwa unaifahamu! Kwa taarifa yako ni kuwa moto wa chadema ulioko hapo meatu chini ya mhe.jeremiah meshack opulukwa ni za hali ya juu na hauwezi kulinganisha uongo wako huo.kama unamfahamu vizuri salum mbuzi aliyepigwa bao la kisigino na kukimbilia kwake hapo shy usingesema pumba hizo hata kidogo!!!.ccm haina chake hapa meatu chini ya jambazi sugu na fisadi wa kutupwa ambaye ni m/kiti wake mzee enock.hata wangefanyaje ccm hawawezi kulichukua jimbo la meatu hata kwa ngumi au kwa vyovyote vile!.tangu kuingia kwa vyama vingi hapa nchini na kabla ya hapo hakuna walichokifanya zaid ya kujinufaisha wenyewe,madarja hakuna tena hata enzi za mlyambate hakuna alichokifanya.huduma za afya ni mbovu,barabara ilikuwa ni shida tupu,urasimu na ufisadi wa hali ya juu,udugu na kujuana katika ajira,wizi wa mali ya umma uliofanywa na mhasibu wa wilaya aliyejenga lodge maeneo ya mshikamano,uporaji wa ardhi ya wafugaji katika vijiji vya irambandogo,makao,sungu ambapo walipigwa na kuchomewa vyakula na makazi yao kisa mkuu wa wilaya kahongwa gari na mwiba holdigsn.k,ujenzi mbovu wa shule za sekondari hasa za kata chini ya kiwango mfano kimali sec ambayo imeshindwa kuvuta huduma ya umeme ambapo ni km chache kutoka hapo mjini mwanhuzi,mwabuzo,ngh'oboko,mwandoya na paji n.k,uporaji wa mali za wananchi,kubambikiziwa kesi zisizo na ushahidi wa kutosha na mengine mengi ya ajabu yaliyofanywa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mlyambate na salum mbuzi!baada ya chadema kuingia madarakani mwaka 2010 mafanikio yafuatayo ya haraka yamepatikana na tena kwa ufanisi wa hali ya juu.1.ujenzi wa daraja la mto mwanhuzi ambalo linaunganisha vijiji jirani hasa shule ya sec kimali na kuwarahisishia upatikanaji wa rahisi wa huduma za elimu na afya hasa wakati wa masika2.ufuatiliaji wa karibu wa urudishwaji wa ardhi iliyaporwa na mwiba holdings co.hasa kijiji cha makao ambao walikuwa wanapigwa na polisi na kuchomewa chakula na nyumba zao suala ambalo lilizungumziwa vikali ktk ziara ya mhe waziri mkuu pinda ambapo wananchi walimwamru mhe.pinda aondoke na mkuu huyo wa wilAYA ambaye ni fisadi wa kutupwa.3.chadema chini ya project manager wake aliye makini na compintent mr.kabelele pamoja na mambo mengine wamefanikisha kuweka umeme jua (solar pannels) katika shule zota za jimbo la meatu suala ambalo ccm walishindwa kulifanya na mambo menginE meng.hivyo basi kama umetumwa na magamba kuja kuicafua chAdema kijana imekula kwako,kajipange upya sasa hivi ni m4c kuitokomeza adui chama cha mapinduzi.
 
Wanachama1938 wakiwa na wenyeviti wao watano wa vitongoji katika Wilaya ya Ngorongoro Kataya Enduleni wamekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) Jioni hii na kuhamia Chadema. Kwamujibu wa katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa, Wenyeviti haowalipiga simu asubuhi ya leo na kutoa taarifa za kuhama CCM. Chadema ilituma KikosiKazi ili kuthibitisha habari hizo na tayari imethibitishwa wanachama hao kuhamaCCM na Kuhamia CHADEMA kama inavyoainishwa hapa chini; 1. Saitabau Tereto - Mwenyekiti waCCM Kitongoji cha Esirwai, Amerudisha Kadi yake na kuhamia Chadema, Wanachama wengine 478 waCCM katika Kitongoji hiki wamerudisha KADI zao na kuhamia Chadema. 2. Kone Kema - Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ndiyani, AmerudishaKkadi na Kuhamia Chadema, WanachamaWengine 590 (CCM) katika kitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia Chadema 3. Marko Mbene – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ngoyapase, Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema, Wanachama wengine 320 katika Kitongoji hiki wamerudishaKadi na kuhamia CHADEMA 4. Saruni Meng'arana – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Embarware – Amerudisha kadi na Kuhamia Chadema, Wanachama wengine 224 katika Kitongoji hikiwamerudisha Kadi zao za CCM na kuhamia CHADEMA 5. RobertEdward – Mwenyekiti wa CCM Kitongoji cha Madukani Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema, Wanachama wengine 326 wa CCM katikakitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia CHADEMA Arusha Mambo itakatisha matangazo yake toka Bungeni Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja toka kwa Viongozi wa Chadema waliko eneo la tukio
saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni m4c
 
hope mmesikia hoja imepigwa chini na speaker! j3 haitawezekana inatakiwa siku 14 kabla so j3 zitakuwa siku 4 tu!
 
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.

Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.

Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?

Huu ni uongo wa mwaka, inshot niko Meatu mjini Mwanhuzi Ccm kwa sasa ofisi ya wilaya haifunguliwi,hawana hata ubavu wa kuitisha mkutano wa hadhara hawapati watu,HUU NI UZUSHI acha usenge
 
Back
Top Bottom