Wana-Udsm waachiwa huru!

Ragnar Fluke

JF-Expert Member
May 22, 2012
374
115
Kesi iliyokuwa inawakabili wanafunzi 51 wa chuo kikuu cha Dar es salaam imefikia tamati baada ya kuachiwa huru n mahakama ya mkazi Kisutu. Awali wanafunzi hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kufanya mikutano ya hadhara na maandamano kinyume cha taratibu! Wadau naomba mnisaidie masomo yao yatakuaje coz wamepoteza muda mwingi kufuatilia kesi mahakamani.
 
Utakuta nia ya serikali ni kuwafelisha ama ku discolify kutokana na kutohudhuria vipindi, hivi na wale waliokamatwa kwakumzomea jk waliishia wapi?
 
Back
Top Bottom