wana udom mwaka 2 na 3 mpo,

Eselo

Member
Jul 30, 2012
41
9
habri zenu ndugu zangu,naomben msaada tafadhali,nataka kwenda kulipa ada ya direct cost,naingia mtandaoni naambiwa warning haufunguki,wenye huo muamala naomba unirushie plz,maana nasikia wameweka adi ac no ya NMB,plz msaada maana ndo naelekea town,
 
Pole, ni kweli site ya UDOM iko down. Mbona hiyo account ya NMB sikuiona?

BANKING INFORMATION
Payments should be made to the following accounts:
BENEFICIARY: University of Dodoma
BANKER: CRDB- PLC, University of Dodoma Branch
TUITION FEE & DIRECT COSTS: A/C 01J108 2344 900
SWIFT CODE: CORU TZTZ
STUDENT UNION FEE: A/C 0150083321200

UPDATE
Ni kweli hiyo acc ya NMB ipo,nimeiona ingawaje ilikuwa ngumu kuipata kwa ajili ya site ya UDOM kuwa down,maana ina virus, hivyo wameipiga chini ili kufanya marekebisho.

NMB
: Account
Name: UNIVERSITY OF DODOMA -COLLECTION ACCOUNT.
Account Number: 52010004888.
Swift Code: NMIBTZTZ
 
Ni kwl kuna ac ya NMB ndo wame2tel first yr wamexema walichelewa kuiweka.
 
Ni kwl kuna ac ya NMB ndo wame2tel first yr wamexema walichelewa kuiweka.
Ni kweli ipo na tayari nimeshafanya marekebisho ya post#2 hapo juu. Mwanzoni sikuiona kwa ajili ya site ya UDOM kuwa down. Asante kwa kunihakikishia uwepo wake.
 
Back
Top Bottom