Wana JF

Sasa wewe huyo serengeti boi atakupeleka wapi?? Hata kunywa soda mwenyewe hawezi, biskuti anaona ngumu kuimega
Sipiyuu if they have nothing to offer, they wouldnt be this hot in the market bwana........hebu niache nichangamshe damu mbona wanibania??
 
Kijana mwenyewe kaiba computer ya baba ake ndo kaingia Jamvini, masikin hawezi hata kujitetea, ndo atajua kuelezea huo uchachu????

Check hapo JF join date utajikuta huu mgeni hapa JF kujua ngono si kuwa mzoefu wa kila kitu
 
we ulishakuwa na uhusinao wa kimapenzi na mwanamke wa miaka 40 kwenda juu?if hapana then huwezi jua hili,yeye naona anajua through experience!!

Wanaume hawajawahi tu kugundua. Akiwa juu ya 40, ni rahisi kama unakusudia kumridhisha. Lakini chini ya hapo shuhuli kweli kweli kama unajali kumridhisha
 
kaka toka lini tunacheza hockey?

Kaka, nilikuwa na fanya kazi hii
avatar_25001.gif

Michelle na Dena Amsi wakani-maindi ikabidi nigeukia Hockey
 
Check hapo JF join date utajikuta huu mgeni hapa JF kujua ngono si kuwa mzoefu wa kila kitu

Mdogo mdogo ndio mwendo kijana, safi sana. Tutaendelea kukufundisha Jamvi lilivyo
Hiyo Join Date na Number of Posts havilingani kabisa, jitahidi unifikie kijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom