Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Unapima upepo ehh, mimi na nyumba yangu. Tutakuwa mstari wa mbele siku hiyo
Kabla huu mwaka haujaisha lazima tukuchague mwenyekiti wa mtaa!Andika nitahudhuria
Kutakuwa na posho?
hapana kutakuwa na shobo..i mean vyosho(wingi)
hapana kutakuwa na shobo..i mean vyosho(wingi)
Watupe taarifa ya eneo tutalopiga kambi tuandae mahema