Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Ndugu makomred "wenza katika harakati" Wana JF mtakaokuwa mstari wa mbele siku ya maandamano huhusu muswada wa katiba tujikusanye hapa ili tufahamiane.
Ndugu makomred "wenza katika harakati" Wana JF mtakaokuwa mstari wa mbele siku ya maandamano huhusu muswada wa katiba tujikusanye hapa ili tufahamiane.
Kutakuwa na posho?
Afu unaakili wewe, au mdogo wake newton? Ndo suala la msingi.
Hofu yangu ni kwamba wengi wetu tuta andamana humu humu kwenye mitandao lakini sidhani kama wapo watakaothubutu kuingia mtaani.