baada ya kuona picha za K.Ampiga mkoloni ndo unataka na wewe kwenda haya bana 2pe feedback.lol[font color="#A52A2A"][span style="font-family: comic sans ms"]Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana[/span][/font]
baada ya kuona picha za K.Ampiga mkoloni ndo unataka na wewe kwenda haya bana 2pe feedback.lol
ingia tu pale kwa wakubwa utakuta zimejaa pale 'ARUSHA NOMAAA...' utacheck mambo yao!ziko wapi hizo aisee

On a very serious note wana JF arusha big up saaana sana mko wakarimu kama ndama mutoto ya ng'ombe

naunga mkono alochosema shantel 100%, u guys rock ngoja ntarudi...
haya have a blast! Angalia usichukue toto za chalii, hizo jombaa huwa hazicheleweshi!Hahaha nataka kujiona kwa macho asee
Inaonyesha Arusha kuzuri sana naona watu wanafunga safari kula mbuzi.

Inaonyesha Arusha kuzuri sana naona watu wanafunga safari kula mbuzi.
yote kayaanzisha K. Ampiga mkoloni, mapicha yake yamewatamanisha. Next week inabidi na me nifanye mpango nifekeko bana!Inaonyesha Arusha kuzuri sana naona watu wanafunga safari kula mbuzi.
i knew itJamani eeh, nimefika n m stayin at Golden Rose