Wana JF wa Arusha naja...

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana
 
Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana
Sentensi yako ipo to general, weka bayana unakuja lini ili tukuandilie futari na madiko diko mengine mkuu. Nakutakia safari njema, tunakusubiri.
 
Nakuja alhamisi mkuu na ntakuwepo mpaka jmosi @Mzee wa rula
Blackberry, ni-pm namna ntakavyokuspot
 
Preta, umenote kipi sasa mamy?
Lizzy, nakuja na zawadi nyingi tu ushindwe mwenyewe kubeba
 
Mawingu usiache kwenda, hapo utakutana na waja leo warudi leo wengi tu
 
Haya mrembo nimekupata sasa, unambie tu hiyo futari wanialika wapi @Preta
Kaka, shukrani na zitafika @Elia
Gaga, mekusoma......
 
karibu vp umejiandaa vp na baridi ila usijali vipasha joto vipo vingi
 
Matwi, nakuja na makoti makubwa kama Alex Ferguson
Shantel, samaki unataka wewe au huyo nicky?
Kaka hapana shaka ntawaarifu @Mr. Rocky
 
Naona wana JF wa Arusha wakupendelea sana. Ukifika Arusha Hotel unijulishe maana hata mi huwa hapo ni kijiwe changu.
Tunakusubiri kwa sanaaaaa!
 
diko mengine mkuu. Nakutakia safari njema, tunakusubiri.</span></font>[/QUOTE]<br />
<br />m
 
Asante sana Sarya na Diko, nawapenda sana watu wa Arusha mu wakarimu mno
 
Back
Top Bottom