Wana JF wa Arusha naja...

Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana

usijali nitakutembeza kuna mitaa fulani hivi kuna kitimoto kizuri.

First born, we bonge la mtu yaani ushukuriwe sana

Lizzy na Shantel inabidi mnipeleke hukö kwa kuku na samaki wa foil asee

Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana

Karibu mkuu,baridi kiasi binafsi nakuandalia mnafu, kasichana na tonic ya moto

Takuita mwenzangu yaani ni balaa, sijaona bado,,,kuku nao ni balaa tupu

Pale napaaminia aisee...

Nimekumbuka siku moja tumekaa pale mzee wa kihindi akawa anakonyeza kama hana akili nzuri.,.!!Dah...inabiti tumpeleke mgeni pale alafurahie jiji letu!!

Lizzy na Shantel inabidi mnipeleke hukö kwa kuku na samaki wa foil asee
Panda taxi kama hutapata mtu mwambie akupeleke kwa nicky njiro, kila taxi nafikiri inapajua, ila beba jacket samaki unaweza muona mchungu looo

Pale napaaminia aisee...

Nimekumbuka siku moja tumekaa pale mzee wa kihindi akawa anakonyeza kama hana akili nzuri.,.!!Dah...inabiti tumpeleke mgeni pale alafurahie jiji letu!!
Arusha raha. halafu wenyeji hawataki ulipe bili
mie arusha sinunui hata kinywaji kimoja

karibu sana arusha ukiifika sogea sogea mount meru hotel wanapolala wazee wa kaya ndipo tunapopatikana

Panda taxi kama hutapata mtu mwambie akupeleke kwa nicky njiro, kila taxi nafikiri inapajua, ila beba jacket samaki unaweza muona mchungu looo
Mh haya nasikia kuna baridi kali kweli huko naw

karibu sana arusha ukiifika sogea sogea mount meru hotel wanapolala wazee wa kaya ndipo tunapopatikana
Mh huko Mount Meru nitafute nini mie huko kwa mafisadi

Arusha raha. halafu wenyeji hawataki ulipe bili

mie arusha sinunui hata kinywaji kimoja

Sindo hapo sasa....ukirudisha tabasamu utapelekwa mpaka getini/utalipiwa taxi au uweke mafuta kabisa kama una kamkogo kako!!!A town watu wako generous sana aisee...ndo maana napapenda SANA!!!

UngaLTD

You sure.....!?!Coz I won‘t be there to put up a good word for you!!
Dah i went there once ila sio kule ndani kabisa ni huku baada ya fire tu kidogo kuvuka reli, duh kama Kiburugwa!

Karibu mkuu,baridi kiasi binafsi nakuandalia mnafu, kasichana na tonic ya moto
Hahahahaaaa kaka hako kasichana ntaruhusiwa kurudi nako huku kwetu?

Back
Top Bottom