Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

<font color="#B22222"><span style="font-family: comic sans ms">Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako BEYOND KEYBOARDS.Bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena Arusha kwa ajili ya wana JF wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa Arusha.</span></font>
<br />
<br />

Tulikusubiri sana Mkuu! Karibu tena Arusha. Ututaarifu mapema tukuoneshe kweli it is a geneva of Africa na we real mean when we say "we are beyond the keyboard!"
 
walah tena na mikate inauzwa kwa mnada na muhindi? Ukitaka hata slesi moja unapata?

Kha we mwana umenichekesha mchana huu lol! hebu punguza visa. Eti ukitaka hata slesi moja unapata mwe
 
Wageni toka nje wanafanya huku arusha ndo nyumbani. Kila kukicha wanakuja na kuondoka. Sisi tunaoishi hapa Tanzania tunaona vigumu kutembelea Mkoa huu wenye kubeba nchi yety ya Tanzania. Jamani naombeni kabla mgeni hajabutuka na kile kilichopo kwako wewe mwenyweji uwe tayari umeshaifaidi vya kutosha.

Tuitembelee Arusha na sehemu zake muhimu kama vile Ngorongoro n.k. Wengine japo ni watanzania halisi hawajawahi hata kufika Mkoa huu muhimu sana kwa Tanzania.
 
MusijoJR ukienda tena uwe makini na TOYO nasikia zinauwa sana...maana ndio usafiri pekee Arusha...
 
Back
Top Bottom