Wana JF njooni mnipe ushauri naangamia

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
316
831
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna mwanamke wa mtu hapa mtaani ananipenda sana anasema yupo tayari aachane mumewe ili aje kwangu na ukiangalia mumewe ni mwanajeshi na mimi nimemwambia tuachane kaa na mmeo ila hataki ameniganda na mimi naogopa mke wa mtu sumu...

Nifanyaje?
 
Umeshakula?

Kama umekula nafikiri umeharibu, maana anajua unampenda mpaka ukamla, kama umekula hama mtaani hapo mambo yasiwe mengi.

Kama haujala ndio vizuri unauwezo wa kumkazia, lakn pia hama mtaa ndio suluhisho nzuri zaidi.
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna mwanamke wa mtu hapa mtaani ananipenda sana anasema yupo tayari aachane mumewe ili aje kwangu na ukiangalia mumewe ni mwanajeshi na mimi nimemwambia tuachane kaa na mmeo ila hataki ameniganda na mimi naogopa mke wa mtu sumu...

Nifanyaje?
Kwanza kuvunja ndoa ya mtu ni kujitia gundu. Huyo mwanamke anatafuta pa kutokea na ww ndio utakuwa mlango. Ila akishatoka humo hata ww atakukacha.
 
Kuna siku moja tuko na pikipiki nimempakia mshkji tunaelekea majengo..
Tumefika mataa pale ngarenaro nikaanza kusikia ukunga(nduru)jamaa anapiga kelele kuita wenzake..

Ilikuwa ni kelele kubwa akisema YULE ANAEMTTOOOMB SHEMEJI YULE PALE"
yaani jamaa alikuwa kama kapandisha kichaa..sisi kugeuka km hatuelewi kitu kwamba huyu jamaa anaesema hivyo anamlenga nani..

Kidogo zikatoka ndani baa soja km 3 hivi wakaanza kuja tulipokuwa tumesimama pale kwenye mataa..
Kuja kuangalia vizuri kidole anatuonyeshea sisi..kubabakeee
Nikawasha pikipiki ondoka pikipiki ikazima ilikuwa gia namb 4 nikapangua washa ikawaka.

Jamaa hawa hapa niliondoka pale hadi tairi ya mbele ikanyanyuka..yule soja mmoja alikuwa kavaa kombat akamdaka jamaa koti mshkaji wangu niliempakia..

Kama yule soja angekuwa hajalewa alikuwa anamchomoa mshkaji pale nyuma..
Yaani spidi tulitoka nayo hapo breki ilikuwa duka bovu..

Tulikaa kule hadi usiku ndo tukarudi mshkaji namuuliza anasema yeye hajui chochote hajawai kuwa na mke wa mwanjeshi.
 
Noma sna

Back
Top Bottom