Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Mkuu Fundi, mimi ni mwana jf mwenzenu, nimejaribu, nimeshindwa, nikaleta bandiko humu kuwaomba msinicheke, msinibeze, bali nipeni pole kwa kushindwa bali pia nipongezeni kwa kujaribu!.
Kiukweli kushindwa kokote kunauma, ila kushindwa kwa kukataliwa kunauma zaidi, ila mimi ni mkomavu na mshindani wa kweli, asiyekubali kushindwa sio mshindani, tayari nimeisha tibu maumivu ya kushindwa, sasa tuko kwenye kampeni, tunawaunga mkono wale wote waliopitishwa na chama.

P
We bwana acha kujaza server na mambo yasiyo na mantiki, tuache tujishughulishe na wagombea, mambo yako yakukataliwa kayajadili na mkeo, au la subiri 2025.

Sababu hizi 5 years zinazokuja zitakuwa ngumu zaidi kwa watu wa aina yako, usifikiri tunahubiri uhuru uhuru uhuru blindly. tunahubiri haki pia. na hakika haki yenu mtaipata, you are not going to eat your cake and still have it. you know this better.
 
No wonder uliambulia kura moja
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura 0!, hivyo hiyo kura moko kwangu ni ushindi mkubwa!. After all, mimi ni mwana jf mwenzenu, baada ya kushindwa nilijitokeza nikawaomba nipeni pole, msinicheke, msinibeze, Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!, mbona mnaendelea kunibeza?.

It was banter/troll nothing serious brother
 
Huo haukuwa uchaguzi, ulikuwa uchafuzi!
Uliona wapi watu 176 kupambania nafasi 1na kwakuwa mligombea kupitia chama cha kihu** hamuoni aibu kujitokeza wazwaz!
 
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura 0!, hivyo hiyo kura moko kwangu ni ushindi mkubwa!. After all, mimi ni mwana jf mwenzenu, baada ya kushindwa nilijitokeza nikawaomba nipeni pole, msinicheke, msinibeze, Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!, mbona mnaendelea kunibeza?.
P
bora umeamua kutoa ya moyoni wenye kukuelewa tumekuelewa
 
Ulifanya siri ukasahau Dunia iko kiganjani, mficha maradhi kifo humuumbua
 
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura 0!, hivyo hiyo kura moko kwangu ni ushindi mkubwa!. After all, mimi ni mwana jf mwenzenu, baada ya kushindwa nilijitokeza nikawaomba nipeni pole, msinicheke, msinibeze, Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!, mbona mnaendelea kunibeza?.
P
We😄😄😄😄🙏🏽🙏🏽
 
Kawe 2025 Gwajima hawezi kutoboa. Hata kura za maoni tu ndani ya CCM hatatoboa.

Hilo jimbo ni either atalipata mtoto wa kigogo au litaenda upinzani.
 
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura 0!, hivyo hiyo kura moko kwangu ni ushindi mkubwa!. After all, mimi ni mwana jf mwenzenu, baada ya kushindwa nilijitokeza nikawaomba nipeni pole, msinicheke, msinibeze, Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!, mbona mnaendelea kunibeza?.
P
Paskali, wewe ni real fighter.
Bila shaka kama ungekuwa na "uwezeshaji" kwa wajumbe kura zingeongezeka kama sio "kutosha"

Itoshe kusema, siasa kwa nchi zetu hizi kuna mambo mengi sana ya kujiuliza kwanini fulani "kashinda" na nani, kashindwa; mtu kama Makongoro Nyerere ni mwanasiasa mzuri na mzoefu kuliko alieibuka kidedea mwaka jana kwenye duru za jimbo la Butiama. Makongoro kawahi kuwa Mbunge wa Arusha kwa NCCR, Mkiti CCM Mkoa wa Mara na Mbunge wa Afrika Mashariki; yet akangukia pua, sidhani aliemshinda kwa sera bora au mipango mizuri ua maendeleo. Bila shaka washindi wengi walijenga "miundombinu ya nipe nikupe".

Hongera tena Paskali, jaribu kuingia ubunge wa EALA, na ikiwezekana rejea tena 2025.

1619293453873.png

John aligombea 1990 na mzee Kabuye na John kuangukia pua; baadae akajikusanya 1995 akatwaa jimbo, the rest is history; maana mzee kalala na watu wanagombana kumtetea.
Kwa kifupi, bado una nafasi ya kuonesha tofauti, kaka mkubwa Paskali
 
View attachment 1762944

Wacha kumdanganya...real fighter kwa lipi....he didnt do his groundwork vizuri.....hatukutegemea mtu kama yeye akagombee ubunge while hajafanya chochote kwa watu ama wajumbe...
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!, na wenyewe wenyewe ndio sisi, mimi nikiwemo!. Asiyekubali kushindwa sio mshindani.

Pili despite the facts ni njia gani walizotumia kushinda, the end justifies the means, nawapongeza kwa dhati washindi wote,

Na tatu hili nilisema kwa moyo wangu, sina kinyongo chochote kushindwa, naahidi ushirikiano, na ile ahadi ya kutoa TZS Milioni 100 kwa CCM, nitaitimiza kupitia fund raising na sio kutoka mfukoni kwangu, hivyo naahidi ushirikiano wa dhati na kuendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM.

Nipeni tu pole!.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
CCM Oye!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata

Uchaguzi 2020 - Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Uchaguzi 2020 - Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?
Praise and Worship team! Sasa Jiwe hayupo jaribu kumsifia mama Kiswahili ingawa hapendi misifa kama msukuma.
 
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura.
After all, mimi ni mwana jf mwenzenu,
acha tukusimange, tuvumilie tu.

unajua kwanini tunakusimanga kaka?, ni kwasababu laiti kama ungeshinda katika hatua ya awali na ile ya ubunge, pengine leo hii ungekuwa kundi moja na wabunge wenzio wa ccm kuwasimanga watanzania wanaoikosoa serikali mitandaoni.

na pengine ungeshiriki kikamilifu mapendekezo ya kutunga sheria kali zaidi za kudhibiti wakosoaji.

nalisema hili kwasababu tunajua attitude ya wabunge wa ccm linapofika suala la kutetea maslahi ya chama, utu na ubinadamu vinakuwa havina umuhimu.
 
Mkuu smarte_r , kwanza ni vile wengi wetu tunajuana kupitia humu tuu, lakini hatujuani in reality. Pili kuna makada wa CCM wa aina 3. 1.Makada Wakareketwa, hawa ni wale wenye uchungu wa kweli na CCM ambao wanapenda CCM ishinde kwa haki.
2. Kuna makada wa CCM ambao ni wapambe na wachumia Tumbo, hawa kazi yao ni kusifu tuu, na kuhakikisha CCM inashinda kwa mbinu zozote hata bao la mkono.
3. Kuna makada wa CCM ambao ni ma realist, hawa wanataka CCM ishinde kwa haki, na hata CCM ikikosea wataikosoa. I belong to this group. Please take time kunisikiliza mimi ni kada wa aina gani.

P
 
Wacha kumdanganya...real fighter kwa lipi....he didnt do his groundwork vizuri.....hatukutegemea mtu kama yeye akagombee ubunge while hajafanya chochote kwa watu ama wajumbe...
Kazi za mbunge ni pamoja na kutunga sheria, kuisimamia serikali na kutetea maslahi ya wananchi wake jimboni na Tanzania kwa ujumla.

Hoja ya Paskali kafanya nini kwa wana-Kawe, hakuwa na platform ya ubunge afanye jambo ila wakati huo (mwaka jana kwenye kinyang'anyoro) alijitokeza ili kama chama chake kingempa uteuzi na baadae wananchi wakamchangua, basi alikuwa na nafasi ya kuingia bungeni na tungehoji mbona hajafanya baada ya kuwa bungeni.

Paskali ni mwaandishi wa habari mwandamizi, ni mbunifu na sio mwoga. Aliasisi kipindi cha kitimoto kwenye TV (ni kama ilivyo dakika 45 ITV japo wao wamepoa sana).

Kitimoto ilikuwa kipindi kwelikweli, viongozi wa serikali walikuwa wanabanwa kwa maswali magumu pasipo woga; ilipelekea wamiliki wa TV kuogopa mkono wa dola simply kitimoto kilikuwa kipindi hot.

Paskali amewahi kutoa makala gazeti la Raia Mwema na kumfanya mkuu wa nyumba ya kutunga sheria kuwa "uncomfortable". Hii ilipelekea Paskali kuitwa "kujieleza". Sijui kama waligharimia air ticket, malazi na usumbufu wa kumwita; mpaka leo hatuna majibu juu ya hatima ya mahojiano hayo, ila unaweza kuona mwandishi anatoa makala, mpaka mwenye "nyumba" anaitisha kikao Paskali ahojiwe.

Paskali amewahi kumhoji JPM katika "ukali wake" aki-challenge juu ya kuheshimu separation of power. Mzee baba kwa mara ya kwanza akatujua kuna mhimili mmoja kati ya 3 "umejichimbia chini zaidi"

Mtu wa haiba ya Paskali alihitajika sana bungeni kwa weledi alionao kama mwana habari mwandamizi na msomi wa sheria.

Bahati mbaya ni Watanzania wachache wanaweza kuona haya na ku-influence kwanini Paskali ilitakiwa awepo mjengoni.
 
It's not fair kuendelea kunisimanga kwa kuambulia kura moja!, tulikuwa wagombea 176, waliopata angalau kura moja ni less than 30!. Kuna wagombea zaidi ya 140, miongoni mwao ni wanasiasa wakubwa hadi ngazi ya Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa, wamepata kura 0!, hivyo hiyo kura moko kwangu ni ushindi mkubwa!. After all, mimi ni mwana jf mwenzenu, baada ya kushindwa nilijitokeza nikawaomba nipeni pole, msinicheke, msinibeze, Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!, mbona mnaendelea kunibeza?.
P
Pole Sana Mh. P. Bahati mbaya hata aliyepewa kishaanza kumpinga mwendazake kiaina!
 
na wewe ulieanzisha hii maada tunajua uliambulia kura moja tu ya wajumbe mwaka 2020, huenda nawe unaandika hizi mambo kwa manufaa yako, hii nchi daaah 😂😂
Mkuu sky soldier , sisi wana jf ni kama ndugu watoto wa familia moja, sio poa kuendelea kumsimanga ndugu yako wa familia moja!.

Baada ya kugombea nilirudi humu nimewaomba, msinibeze, msinicheke na msinisimange,
mbona sasa mnaendelea kunibeza na kunisimanga?.
This is not fair!.

P
 
Back
Top Bottom